Author: Jamhuri
Zitambue dalili za sonona
Mwanamke mmoja kati ya watano, na mwanamume mmoja kati ya 10 wamewahi kupata sonona katika jamii zinazotuzunguka na kuleta matokeo hasi katika maisha yao. Takwimu hizi zinadhihirisha kuwa wanawake ndio wahanga wakubwa wa janga hili. ‘Depression’ ni neno la kisayansi…
Bravo: Rais Magufuli (2)
Sehemu ya kwanza, mwandishi wa makala hii alieleza namna wakoloni walivyoleta elimu kwa ajili ya kuwapumbaza Waafrika na kuwafanya wapuuze asili yao. Alieleza namna mkurugenzi wa kwanza wa elimu aliyeitwa Stanley River-Smith alivyokuja mwaka 1920 na kusimamamia utekelezaji wa sera…
ZEBAKI: Sumu hatari inayoua taratibu
Zebaki katika maeneo yenye uchimbaji mdogo wa dhahabu si msamiati unaotaka kamsi ya Kiswahili sanifu kujua ni nini na inafanya kazi gani. Katika migodi midogo iliyopo mkoani Geita, hususan machimbo ya Nyarugusu, Makurugusi, Lwamugasa na Mugusu, wachimbaji wadogo wameizoea zebaki…
Ndugu Rais wosia wa Baba usipotubadilisha ole wetu
Ndugu Rais, kama ilivyo kwa viongozi wetu wa dini wanapofanya ibada hurudia maneno yale yale na kwa msisitizo ule ule, kuwa tuache dhambi na tumrejee Muumba wetu. Maneno haya yamekwishatamkwa mara nyingi mno, lakini kwa umuhimu wake hayajawahi kuchosha wala…
Manufaa ya Ngorongoro kwa jamii, taifa
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro ni miongoni mwa injini za maendeleo katika taifa letu. Dhima kuu ni kuhakikisha uhifadhi unakuwa endelevu, lakini wenye tija kuanzia ngazi ya chini kabisa ya jamii hadi taifa zima. Kwa kulitambua na kulizingatia hilo, Mamlaka…
‘Maana ya Chuo Kikuu Huria inapotea’
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Profesa Elifas Bisanda, amezungumza na Gazeti la JAMHURI kuhusu historia, mafanikio, changamoto na hatima ya chuo hicho. Sehemu iliyopita alieleza namna OUT ilivyosambaa nchini kote. Sehemu hii anaelezea kuhusu mtandao huo…