Author: Jamhuri
Uchumi wa nchi uko imara – Majaliwa
Tanzania imeelezwa kuwa na uchumi imara unaoendelea kukua vizuri chini ya Serikali ya Awamu ya Tano, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametanabaisha. Kwa mujibu wa waziri mkuu, uimara huo ni kati ya sababu lukuki zinazoifanya Tanzania kuwa chaguo la wawekezaji na…
Bandari: Rais Magufuli ameweka historia (2)
Novemba 5, mwaka huu Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Pombe Magufuli inatimiza miaka minne madarakani. Katika kipindi hicho kifupi, serikali imefanya mabadiliko makubwa katika mfumo wa uendeshaji wa bandari za Tanzania na imeleta maendeleo makubwa hadi…
Bei ya pamba yawakatisha tamaa wakulima Simiyu
Wakulima wa pamba wameonya huenda zao hilo likatoweka iwapo serikali haitaacha kupanga bei yake isiyozingatia uhalisia na vigezo vya soko la dunia. Wamesema uingiliaji huo wa bei unawaongezea umaskini, kwani katika msimu unaoelekea ukingoni kwa sasa, wamelazimika kuuza pamba yao…
Ndugu Rais malango yako yabarikiwe
Ndugu Rais, kwetu tunaamini kuwa ukizushiwa kifo au hata ugonjwa tu, unatabiriwa maisha marefu. Imani hiyo kwetu bado ipo. Hivyo, kusema fulani kafa au ni mgonjwa hatari, wakati si kweli, yalikuwa ni maneno yakutia faraja na matumaini kwa anayezushiwa hayo….
Leo ‘Tanzania’ imetimiza miaka 55
Jina la Tanzania leo limetimiza miaka 55. Kabla ya tarehe 29 Oktoba 2019, Tanzania ilijulikana kama Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Ni mwanafunzi wa miaka 18 wakati huo, Mohammed Iqbal Dar, aliyebuni jina hilo katika shindano la kubuni…
HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (5)
Maisha bila malengo ni kama meli bila usukani Watu wanaongozwa na malengo. Ni lengo gani linalokuongoza maishani? Watu waliofanikiwa wana malengo, ambao hawakufanikiwa wana matakwa au matamanio tu. Atakalo mtu hapati, hupata ajaliwalo. “Mtu asiye na lengo ni kama meli…