Author: Jamhuri
Jenerali Waitara atafuta mrithi Mlima Kilimanjaro
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi mstaafu, Jenerali George Waitara, ametumia maadhimisho ya miaka 57 ya Uhuru kutangaza rasmi kustaafu kupanda Mlima Kilimanjaro. Waitara amekuwa akipanda mlima huo kwa kipindi cha miaka kumi mfululizo. Waitara ametangaza azima hiyo wakati wa mkutano…
Asanteni wasomaji wetu
Wiki iliyopita, yaani Desemba 6, 2018 Gazeti la JAMHURI limetimiza miaka saba sokoni. Sasa tumeanza mwaka wa nane. Katika kipindi chote hicho cha miaka saba hatujawahi kushindwa kwenda sokoni. Tumechapisha kwa ukamilifu matoleo yote 52 kila mwaka na ya ziada…
Maeneo matatu pesa ilikojificha (1)
Pesa imejificha katika maeneo makuu matatu. Sehemu ya kwanza pesa ilikojificha ni katika uhitaji.Biashara yoyote kubwa yenye mafanikio ni biashara inayotoa suluhu kwa mahitaji yanayohitajika katika jamii. Ukiweza kutatua uhitaji wa watu kwenye jamii yako au kutatua matatizo ya watu…
Padri Kitunda amenigusa, tujenge uzalendo
Najua baadhi ya wasomaji wangu wanapenda kila wakati tuandike siasa, uchumi na mambo mengine ya kijamii. Leo naomba mniruhusu nichepuke kidogo. Kuna kitu kimenigusa katika ibada niliyohudhuria Jumapili iliyopita katika Parokia yetu ya Roho Mtakatifu ya Kitunda. Paroko Msaidizi, Paul…
Ndugu Rais naiona kesho yangu
Ndugu Rais, naiona kesho yetu iliyopangwa na Baba. Kesho ya heshima iliyopangwa na Baba. Kesho ya neema, kesho yetu ya ushindi liyopangwa na Mungu. Sitaki kuitazama leo yetu. Leo yetu ni ya shida. Kuna majira hufika mambo yakawa magumu. Hata…
Watanzania tusiwe kama Thomaso
Desemba 9, 2018 imeangukia siku ya Dominika, ni siku ya Bwana, sisi Watanganyika tumefanya kumbukumbu ya mwaka wa 57 wa Uhuru wa taifa letu. Ni fahari kubwa sana kwa sisi sote kukumbuka Desemba 9, mwaka ule wa 1961 tuliojikomboa kutoka…