JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Wavamizi hawa si wa kuchekewa

Nimesoma tamko la serikali linalohusu uamuzi ‘mgumu’ ilioamua kuuchukua dhidi ya wavamizi wa hifadhi mkoani Kigoma. Tathmini iliyofanyika mkoani humo imeonyesha hifadhi za misitu na mapori ya akiba yamevamiwa kwa shughuli za kilimo, ufugaji, ukataji miti na baadhi ya vijiji…

Buriani mwaka 2018, karibu mwaka 2019

Namshukuru Mwenyezi Mungu kunijalia na kuniwezesha kuuona na kuukaribisha mwaka mpya 2019 na kunipa uwezo kutamka buriani mwaka 2018. Mwaka ambao kwangu na kwa nchi yetu Tanzania ulikuwa ni mwaka wa mafanikio. Nina wajibu tena na tena kutoa shukrani kwa…

Yah: Utabiri wangu haukomi, natabiri tena 

Nianze kwa salamu za mwaka mpya kwa wasomaji wetu wote, najua tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kutuvusha mwaka huu, mwaka jana ulikuwa na mambo yake, yapo yaliyokuwa ya heri kwetu na yapo ambayo kwa kweli yalizikera nafsi zetu, lakini…

Tabuley, Pepe Kalle Wakumbukwa Kongo 

Desemba mwaka jana baadhi ya wapenzi na mashabiki wa wanamuziki Tabu Ley na Pepe Kalle walifanya kumbukizi ya wanamuziki hao.  Ikumbukwe kuwa kifo cha Pepe Kalle kilitokea Novemba, 1998 wakati Tabu Ley alifariki dunia Desemba 2013, kutokana na mshtuko wa…

Zahera asimamia nidhamu Yanga

Ukienda mitaa ya Twiga na Jangwani jijini Dar es Salaam yalipo Makao Makuu ya Klabu ya Yanga utawakuta viongozi, mashabiki na wapenzi wa klabu hiyo hawana presha yoyote kuhusiana na mwenendo wa timu yao, wanakunywa tu kahawa. Wanaamini Kocha Mkuu…

Siri zavuja Jiji

Siri nzito za mradi wa ujenzi wa kituo kikubwa cha mabasi ya kwenda mikoani eneo la Mbezi Luis zimevuja, zikavuruga watendaji na Baraza la Madiwani wa Jiji la Dar es Salaam, JAMHURI linathibitisha. Baada ya wiki iliyopita gazeti hili kuandika…