Author: Jamhuri
Wachezaji Stars mjiongeze
Leo Taifa Stars itakuwa Stade Mustapha Ben Jannet uliopo mjini Monastir, Tunisia, kuivaa Libya katika mchezo wa kufuzu kuwania kushiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika. Huu ni mchezo wa pili, katika mchezo wa awali dhidi ya Equatorial Guinea…
Wanaswa uhujumu uchumi
Kikosi Kazi maalumu kilichoundwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kimebaini ukwepaji kodi unaokisiwa kufikia Sh bilioni 10 katika kampuni sita za bilionea Mmarekani, Friedkin, zinazojihusisha na sekta ya utalii nchini, JAMHURI linathibitisha. Kwa tuhuma hizo, wakurugenzi wa kampuni hiyo wanakabiliwa…
Dk. Kigwangalla atauweza ‘mfupa’ uliomshinda Prof. Maghembe?
Safari ya kuupanda Mlima Kilimanjaro ambao ndio mlima mrefu kuliko yote barani Afrika haihitaji mbwembwe bali ni utimamu wa mwili, afya njema na kufuata maelekezo ya waongozaji wageni. Hiyo ndiyo siri ya mafanikio kwa wale wanaofanikiwa kukifikia kilele cha Uhuru…
Agizo la Magufuli laacha kilio
Agizo la Rais John Magufuli kwa taasisi za serikali na mashirika ya umma kuhamisha ofisi zao kutoka kwenye majengo binafsi kwenda majengo ya serikali limewaacha baadhi ya wamiliki wa majengo katika maumivu baada ya taasisi hizo kuhama. Wakala wa Barabara…
Wafanyakazi wa Bora bado watanga na njia
Waliokuwa wafanyakazi wa kiwanda cha kutengeneza viatu cha Bora ambao waliachishwa kazi mwaka 1991, wameibuka na madai ya kiasi cha Sh bilioni 45. Wafanyakazi hao wanaitaka serikali iwalipe kiasi hicho cha fedha ambacho kinajumuisha pia malipo ya muda wa kusubiria…
KIJANA WA MAARIFA (2)
Dunia inatawaliwa na wenye maarifa Tupo katika kipindi ambacho kuwa na maarifa ni jambo la muhimu mno. Dunia ya sasa inatawaliwa na watu wenye maarifa. Bila kuwa na maarifa utajiweka katika wakati mgumu. \ Maarifa yatakufanya uongoze kila unapokwenda….