Author: Jamhuri
KIJANA WA MAARIFA (3)
Maisha hayahitaji watu wepesi wepesi Nimeamka asubuhi na mapema huku nikifurahia tukio moja zuri sana, ni pale jua linapoliambia giza, “Inatosha sasa, huu ni wakati wangu wa kutawala.” Napaki mizigo yangu na kutoka nje. Naanza kwenda katika kituo cha magari, ni…
Kiongozi ni muhimu, lakini umma ni zaidi
Leo naandika juu ya uanaharakati kama nyenzo inayotumika na watu au makundi ya watu kuendesha kampeni za kuleta mabadiliko ndani yajamii. Tumezoea kuhusisha uanaharakati na siasa pekee, lakini ni mada pana inayovuka uwanda wa siasa. Najikita juu ya jinsi gani…
Je, umemdhamini mtu kuchukua mkopo na mali yako inataka kuuzwa?
Ni kawaida mali za wadhamini kutaka kuuzwa au kuuzwa pale waliowadhamini wanaposhindwa kurejesha mikopo. Huwa inauma, kwa sababu wakati mwingine mdhamini hakufaidika na mkopo, ila tu aliamua kumsaidia ndugu, rafiki, jamaa ili akope, asonge mbele, ila baadaye inakuja kuwa hivyo….
Muhtasari wa kitabu cha Rais Mkapa
Mtoto Benjamin William Mkapa, alifundishwa kupika chakula na mama mzazi, Stephania, akiwa mdogo. Alipokwenda shuleni hapo kijijini Lupaso, Ndanda na hatimaye St. Francis Pugu na Makerere, alifundishwa kupika, kufinyanga, kubuni na kuchambua mawazo na kuyaweka sawa kama msomi mbunifu na…
Jiulize maswali kila asubuhi
Unapoamka asubuhi kutoka kitandani unajiuliza swali gani? Unapomsikia jogoo akiwika alfajiri unajiuliza nini? Je, kila asubuhi unajiuliza kuhusu hatima ya maisha yako? Kila asubuhi imebeba ujumbe wa maisha yako. Kila asubuhi Mungu anakuambia: “Nimekuamsha salama mwanangu mpendwa. Ninakupenda sana. …
HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (6)
Fursa hazipotezi muda zikikutana na wale ambao hawajajiandaa, zinapita. Fursa ikikutana na maandalizi kwa pamoja vinazaa bahati. “Nitajiandaa na siku moja fursa yangu itakuja,” alisema Abraham Lincoln. Kutojiandaa ni kuharibu furaha ya kesho, kutojiandaa ni kujiandaa kuyapa mgongo mafanikio. “Kwa…