Author: Jamhuri
Yah: Unabii katika uongozi wa nchi yetu
Nianze na salamu kama kawaida na kuwapa pongezi tena ya kuendelea kuwa nasi katika gazeti letu ambalo nina hakika tunawafikia vizuri na tunawafikia pale ambapo wenzetu wengi wamekoma. Lengo letu hasa ni kuwapa taarifa na si kuwapa uzushi, tunaahidi mwaka…
Tuzingatie kanuni za uandishi wa habari
Ukisoma Kamusi Kuu ya Kiswahili moja ya maana ya neno HABARI ni jambo, tukio au hali fulani iliyo muhimu na ya aina ambayo ni ngeni kwa walio wengi. Jamii ya wasomaji wa magazeti, wasikilizaji wa redio na watazamaji wa televisheni inayofaa…
MAAJABU YA DK. REMY ONGALA (1)
Kama kuna mwanamuziki ambaye hawezi kusahaulika katika kumbukumbu za wapenda muziki ni Dk. Remmy Ongalla. Desemba 13, 2018 alitimiza miaka minane tangu afariki dunia. Alifariki dunia usiku wa kuamkia Jumatatu ya Desemba 13, 2010 nyumbani kwake Sinza, jijini Dar es…
Wakati mgumu makocha EPL
Na Khalif Mwenyeheri Ikiwa ni takriban mechi nne zimechezwa tangu kuanza kwa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), hivyo kila timu ikiwa imecheza jumla ya mechi 22, huu ndio wakati ambao bodi za klabu zinazoshiriki ligi…
Spika, CAG ngoma nzito
Kama ungekuwa mchezo wa soka, basi ungesema zimechezwa dakika 90 zimekwisha, zikaongezwa dakika 30 zikaisha timu zikiwa sare, sasa wanaelekea kwenye kupiga penalti. Huo ndiyo mchuano uliopo kati ya Spika wa Bunge, Job Ndugai na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa…
Jiji lanyang’anywa maegesho
Serikali imemkabidhi Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mkoa wa Dar es Salaam jukumu la kukusanya mapato ya maegesho ya magari kuanzia Februari mwaka huu. Mratibu wa TARURA Mkoa wa Dar es Salaam, Mhandisi George Tarimo, ameliambia Gazeti…