Author: Jamhuri
Rais mstaafu, Mtanzania hawezi kuwa mkweli
Nina shauku kubwa ya kusoma kitabu cha Rais mstaafu Benjamin William Mkapa kuhusu maisha yake kinachoitwa ‘My Life, My Purpose’ (Maisha Yangu, Kusudio Langu). Nina shauku kufahamu mtazamo wake juu ya masuala mbalimbali ya uongozi lakini nikiwa na hofu kuwa yapo mengi…
Mkuki humuua mhunzi
Istilahi za taaluma yoyote zisipotumika kwa uangalifu na maarifa zinaweza kupoteza sifa na heshima ya taaluma. Yaani, wanataaluma wenyewe kudharauliana na kugombana. Na watu wengine katika jamii yao huwabeza, huwacheka na kuwaona hawafai. Hapa nchini kwetu zipo taaluma mbalimbali. Mathalani…
Yah: Naanza kuandika historia ya maisha yangu (1)
Kuna kitu kimenisukuma kuwaza hili hasa baada ya kuona kuna ombwe kubwa sana kati yangu na maisha mapya yaliyopo. Nitaandika kwa sababu pia nimeona kuna umuhimu wa kukumbuka yote niliyoyaishi katika nyakati tofauti za utoto, ujana, makamo na sasa uzee…
TMDA yakamata dawa bandia za mamilioni
Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita Mamlaka ya Vifaa Tiba na Dawa (TMDA) imefanikiwa kukamata dawa bandia zisizofaa kwa matumizi ya binadamu na mifugo zenye thamani ya Sh milioni 56.966. Taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo inaonyesha kuwa katika mwaka wa…
UISLAMU NA WAJIBU WA KUFANYA KAZI
Mtume Muhammad (Allaah Amrehemu na Ampe Amani) amesema: “Ni bora kwa mtu kuchukua kamba akaenda mlimani na kuleta mzigo wa kuni mgongoni mwake na kuziuza ili Allaah ailinde heshima yake kuliko yeye kuomba kutoka kwa watu bila kujali kama watampatia…
Jiulize maswali kila asubuhi (2)
Je, unamfahamu mnyama duma (Cheetah)? Wengi wanajua tu kwamba ni kati ya wanyama wenye kasi sana. Duma anakimbia zaidi ya maili 60 kwa saa, lakini wengi wasichokijua kuhusu mnyama huyu ni uwezo wake mkubwa wa kubadili uelekeo kinyume na alikokuwa…