Author: Jamhuri
Tuthubutu kuondoa umaskini
Mara kadhaa nimepata kumsikia Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli, akisema nchi yetu ni tajiri wakati wananchi wake ni maskini. Nchi hii imetunukiwa maliasili nyingi na Mwenyezi Mungu lakini watu wachache wametuchezea mno katika kupora mali zetu. Kauli hii inapambwa…
Yah: Liwepo ‘bunge’ la pili la viongozi wa dini
Sijui nianze na salamu gani katika waraka wangu huu, lakini cha msingi ni kujuliana hali kwa namna yoyote ile, kwa mujibu wa waraka wangu napenda kuwajulia hali kwa namna ya salamu zenu za itikadi ya dini na protokali izingatiwe. Wiki…
Pumzika kwa amani Oliver Mtukudzi
Mwanamuziki nguli wa muziki wa Jazz kutoka Zimbabwe, Oliver Mtukudzi ‘Tuku’(pichani juu), amefariki dunia wiki iliyopita katika Hospitali ya Avenues jijini Harare akiwa na umri wa miaka 66. Tuku alilazwa hospitalini hapo baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kabla hajalazwa mwanamuziki…
Kichwa cha mwendawazimu?
Nini kifanyike kuhusu timu za hapa nchini? Pengine ndilo linaweza kuwa swali kwa wadau wa soka. Mashindano ya SportPesa yalimalizika juzi huku tukishuhudia klabu kutoka nchi jirani zikichuana kwenye fainali. Katika mashindano hayo ambayo Yanga ilitolewa mapema tu na Kariobangi…
Lissu njia panda
Ofisi ya Bunge inakusudia kutangaza hatima ya ubunge wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA), baada ya kutokuwapo bungeni kwa miezi 16 sasa. Uamuzi huo ukisubiriwa kutoka kwa Spika Job Ndugai, mwanasiasa huyo amekataa kuzungumzia lolote kuhusu madai kwamba…
Benki M yaikuza Benki ya Azania
Ukosefu wa ukwasi wa kutosha uliokuwa unaikabili Benki M umesababisha mali na madeni yake kuhamishiwa katika Benki ya Azania Ltd, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema. Uamuzi huo umefikiwa baada ya BoT kubaini kuwa benki hiyo imetetereka na kujikuta ikiwa…