JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kigogo TRA ‘ajilipua’

Mmoja wa waasisi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mushengezi Nyambele, hatimaye amejitokeza kueleza namna vigogo walivyoshiriki kuvuruga Mamlaka hiyo na vitendo vya ufisadi vilivyofanywa na baadhi ya viongozi waandamizi serikalini. Nyambele ni Katibu wa Bodi ya Wakurugenzi na Mshauri…

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 11

Polisi wanalea dawa za kulevya   Mapendekezo 244. Tume inatoa mapendekezo yenye madhumuni ya kupunguza na hatimaye kuondoa wimbi la rushwa inayotokana na vitendo ndani ya Jeshi la Polisi kama ifuatavyo: a) Ziwepo jitihada za makusudi zitakazoelekezwa kwenye kuelimishana kuhusu…

Siri ya kukauka mizigo Bandari

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira imeshangazwa na kuwepo kwa mvutano wa chini kwa chini kati ya Mamlaka ya Bandari (TPA), Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) pamoja na wadau wengine. Kamati hiyo imekutana na wadau wa…

Biashara holela chuma chakavu janga kwa miundombinu

Biashara holela ya chuma chakavu inayofanyika bila vibali na leseni nchini, inapoteza mapato na kusababisha hasara kwa taasisi za umma ambazo miundombinu yake huibwa na wafanyabiashara hao. Tangu taarifa zitolewe kwa mamlaka zinazohusika ikiwamo Ofisi ya Rais na ile ya…

Yatakayomkwamisha Rais Magufuli… (1)

Rais John Magufuli, ni Mwenyekiti wa tano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ni Mwenyekiti mpya ndani ya chama kile kile. Ashakum, nadhani unaweza kusema ni mvinyo ule ule ndani ya chupa mpya. Upya wa chupa hauugeuzi mvinyo uwe mpya. Dk….

Bandari kutaneni na wadau kunusuru uchumi

Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na minong’ono kuhusu kupungua kwa shehena ya mizigo katika bandari ya Dar es Salaam, hali hiyo imeendelea hata baada ya  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira kuitembelea bandari mwishoni mwa…