JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Chuo kutatua matatizo ya Bandari

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaac Kamwelwe amesema mafunzo yanayotolewa sasa na Chuo cha Bandari yalenge kutatua matatizo yaliyomo katika sekta ya huduma za meli, biashara za bandari na shughuli za bandari. Mhandisi Kamwele ametoa kauli hiyo katika…

Mke wa Zakaria arejea uraiani

Mke wa mfanyabiashara Peter Zakaria, Anthonia Zakaria, amekiri kosa la uhujumu uchumi na kuhukumiwa kulipa faini ya Sh milioni 54. Alikuwa akishtakiwa kwa kosa hilo baada ya kujipatia mali za Chama Kikuu cha Ushirika Nyanza cha mkoani Mwanza. Mali hizo…

Tusikubali TAZARA ifilisiwe

Habari iliyopewa uzito wa juu kwenye gazeti hili toleo la leo inahusu ‘kuuzwa’ kwa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA). Mengi yamebainishwa kwenye habari hiyo, lakini lililo kubwa ni mpango wa ‘ubinafsishaji’ wake kwa kampuni ya Afrika Kusini….

Nina ndoto (4)

Muda pekee wa kutazama nyuma ni kutazama ni hatua kiasi gani umepiga. Ingawa Waswahili waliwahi kusema: “Yaliyopita si ndwele, tugange yajayo.” Si kila muda ni wa kusahau yaliyopita. Nyakati zilizopita zina mafunzo tunayoweza kukutana nayo kwenye wakati ujao. Kosa si…

Kuumbwa kwa Bonde Kuu la Ufa

Kati ya miaka 300,000 hadi 250,000 iliyopita zana kubwa za mawe zijulikanazo kama acheulian zilianza kupotea katika maeneo ya akiolojia ya Afrika. Nafasi yake ikichukuliwa na aina mpya ndogo ndogo na saizi ya kati. Ukamilisho wa zoezi hili unamaanisha mwanzo wa muhula…

Bwawa laua mamia Brazil

Watu 300 wanahofiwa kufariki dunia baada ya bwawa la maji kuvunja kingo zake katika mgodi wa kampuni ya chuma kusini mashariki mwa Brazil. Maji yaliyochanganyika na matope yaliwafunika mamia ya wafanyakazi wa shirika hilo. Shughuli ya kuwatafuta walionusurika inaendelea karibu…