Author: Jamhuri
Uamuzi wa Busara (2)
Wiki iliyopita katika kitabu hiki cha ‘Uamuzi wa Busara’, tulisoma kuhusu uamuzi wa Mwalimu Nyerere kuacha kazi ya ualimu ili apate nafasi ya kuendesha siasa za kuikomboa nchi. Katika maandiko hayo tuliishia sehemu ambayo wajumbe watatu waliotumwa na gavana wa…
Shida kama hizi hazitakwisha Chadema
Ninaitaja Chadema na kuitolea mfano kwa sababu sasa hivi ndicho chama ambacho kinakabiliwa na tatizo ninalotaka kulizungumzia. Pamoja na Chadema, karibu vyama vingine vyote vimepitia tatizo la watu kujiunga navyo kisha baadaye kuamua kuachana navyo. Hivi sasa nchi inazungumzia hatua…
TIC yafafanua uwekezaji kupungua
Shughuli za uwekezaji duniani zimedorora kwa kiasi kikubwa miaka ya hivi karibuni na hii imetajwa kuwa sababu kubwa ya kupungua kwa mitaji binafsi kutoka nje (FDI), ambako kumejitokeza nchini tangu mwaka 2015, wataalamu wa sekta hii muhimu katika uchumi wa…
Mabalozi SADC waunda umoja Qatar
Mabalozi wa nchi za SADC walioko Qatar wameunda umoja unaolenga kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kimaendeleo na taifa hilo tajiri la Mashariki ya Kati ambalo ni moja kati ya wazalishaji wakubwa wa gesi asilia duniani. Ikiwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya…
Rais Magufuli usiogope, tembea kifua mbele
Mwezi mzima wa Oktoba tumeadhimisha na kushiriki kwenye makongamano mbalimbali ya kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha Baba wa Taifa. ‘Vumbi’ la makongamano na maneno mengi kwenye vyombo vya habari, mitandaoni na vijiweni sasa limetulia, lakini limeacha mambo ya…
Rais wangu utatukuzwa kwa mema yako (2)
Baba Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, mjukuu wako, yaani binti yangu amejiunga Chuo Kikuu Mlimani kwa mwaka wa kwanza akichukua Sayansi na Teknolojia. Amesoma kidato cha tano na cha sita Ifakara High School – shule ya Serikali. Amenyimwa mkopo eti zamani…