Author: Jamhuri
Aeleza alivyoua watoto Njombe
Kabrasha linaanza kufunguka juu ya nani anahusika na mauaji ya watoto mkoani Njombe huku ikithibitika kuwa ndumba, uchawi, ukimwi na ujinga vimekuwa nguzo ya mauaji hayo, JAMHURI limebaini. Ni wiki mbili sasa tangu matukio ya mauaji ya watoto wasiopungua saba…
Ubabe wa wachuuzi
Mpita Njia (MN) yapo mambo anamkosoa Rais Magufuli, lakini yapo mengine – tena mengi – anayokubaliana naye. Waswahili walisema mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni. Kazi inayofanywa sasa katika maeneo mbalimbali nchini inatia fora. Kumjaza sifa zilizopitiliza kunaweza kumfanya abweteke,…
Mjomba amtia mimba mpwawe (2)
Wiki iliyopita Gazeti la JAMHURI liliandika habari kuhusu binti wa shule anayedaiwa kutiwa mimba na mjomba wake. Hapa chini ni mwendelezo wa mahojiano ya wahusika wa tukio hilo. Endelea… Saimoni anasema kisa hicho kimetengenezwa na mama yake mzazi ili kukwamisha…
Wanafunzi Moshi wajisaidia vichakani
Ukosefu wa vyoo katika baadhi ya shule za msingi na sekondari Wilaya ya Moshi umechangia kwa baadhi ya wanafunzi kujisaidia vichakani na wengine kwenye vyoo vya wananchi wanaoishi karibu na shule hizo. Hatua hiyo imetokana na baadhi ya miundombinu ya…
Waziri Mkuu anena
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema serikali imejiandaa kumjibu Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), kwa ushahidi; na sasa inachofanya ni kumsubiri arejee nchini. Amesema serikali inatambua kuwa Lissu anatibiwa, na kwa maana hiyo si jambo la busara kujibizana na…
Mauaji Njombe hayakubaliki
Habari kubwa katika gazeti letu la leo inahusiana na mauaji ya watoto yanayoendelea mkoani Njombe. Serikali kupitia vyombo vya dola imeimarisha ulinzi na usalama Njombe. Bunge limeombwa kuunda kamati ya kuchunguza mauaji haya. Uchunguzi wa Gazeti hili la JAMHURI umebaini…