JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Katiba ni sheria ni ukweli

Naamini pasi na mashaka ukweli hauna mahaba na baba, mama, ndugu au rafiki wala hauna hiyana na adui. Ni neno linalojipambanua ni pekee katika mazungumzo na vitendo. Ukweli una tabia ya kulipa na kutoficha uongo, uovu, wema au uadilifu.  Sheria…

Tutumie mitandao kwa faida

Katika orodha ya uvumbuzi muhimu katika karne ya ishirini hakuna ubishi kuwa mtandao wa Intaneti utakuwa miongoni mwa uvumbuzi muhimu zaidi kwenye orodha hiyo. Kupitia matumizi ya mtandao, binadamu wameweza kuharakisha kasi ya maendeleo kwa kiasi kikubwa si tu kwa…

Profesa Jay awafunda wasanii

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya wametakiwa kutumia nguvu kubwa kuimba nyimbo zenye ujumbe wa kuhamasisha mambo mema katika jamii na kuacha kuimba mapenzi, kwani kufanya hivyo itawasaidia nyimbo zao kudumu kwa muda mrefu sokoni. JAMHURI imefanya mahojiano maalamu na…

Tuwalee Serengeti Boys

Kwa mara nyingine tena timu ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Boys, imeshindwa kupata nafasi ya kushiriki katika fainali za Mataifa ya Afrika zinazotarajiwa kufanyika mwakani nchini Madagascar. Hii ni historia nyingine mbaya kwa wadau wa soka Tanzania…

Dk. Hoseah aanikwa

Aliyekuwa Katibu wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mushengezi Nyambele, ameweka hadharani namna aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Dk. Edward Hoseah, alivyokula njama kuzuia makontena kadhaa yenye shehena yasilipiwe…

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 15

Nidhamu mahakimu imeshuka   Mapendekezo Tume inapendekeza kama ifuatavyo:-  (i)Ajira ya makarani wa mahakama katika ngazi zote ifanywe baada ya tathmini ya tabia ya waombaji kufanywa na idara. Kila inapowezekana idara itumie vyombo vingine vya taifa kupata taarifa za waombaji…