Author: Jamhuri
Simba inakula ‘viporo’
Wiki iliyopita timu ya Simba imeendelea kula viporo vyake vema katika mechi zake baada ya kuilaza timu ya Azam kwa magoli 3-1 katika Uwanja wa Taifa. Simba ilipata magoli hayo kupitia kwa Meddie Kagere aliyefunga magoli mawili huku jingine likifungwa…
Serikali yalizwa
Kampuni ya Crown Lapidary ya jijini Arusha inayojihusisha na biashara ya madini imekumbwa na kashfa ya kutorosha madini yenye thamani ya dola za Marekani milioni 300 (shilingi zaidi ya bilioni 700), JAMHURI limebaini. Madini hayo aina ya Green Garnet, yanatajwa…
Fahamu kuhusu ‘mwuaji’ watoto Njombe
Ni baba wa watoto wanne, mganga wa jadi aeleza siri imani ya utajiri wa kichawi Maisha ya mtuhumiwa, Joel Nzuki, katika kesi ya mauaji ya watoto watatu wa familia moja yameelezwa kutokuwa na viashiria vya wazi kwa mhusika kuhusishwa na…
Aibu tupu stendi Makambako, Njombe
Mpita Njia, maarufu kama MN wiki mbili zilizopita alikuwa katika miji ya Njombe na Makambako kwa nyakati tofauti, ndani ya Mkoa wa Njombe kwa Wabena, Wahehehe, Wakinga na makabila mengine mchanganyiko ya Tanzania na hata watu wa mataifa mengine, ikizingatiwa…
Waliofukuzwa kwa ufisadi Bodi ya Kahawa wakimbilia mahakamani
Waliokuwa wafanyakazi wa Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB) Makao Makuu mjini Moshi na baadaye kufukuzwa kazi kwa tuhuma mbalimbali za ufisadi wa zaidi ya Sh bilioni 3.4, wameanza kuitunishia misuli serikali. Wafanyakazi hao ni aliyekuwa Mkurugenzi wa Fedha, Astery Bitegeko…
Matokeo utafiti wa habari yawe changamoto
Wiki iliyopita Taasisi ya utafiti ya Spurk Media Consulting Ltd ya Uswisi kwa kushirikiana na Baraza la Habari Tanzania (MCT), imetangaza matokeo ya utafiti wake uliohusu ubora wa maudhui kwa vyombo vya habari nchini kwa mwaka 2018. Matokeo ya utafiti huo…