Author: Jamhuri
‘Wapigaji’ ATCL wadakwa
Je, una akaunti ya benki nje ya nchi? Umewahi kujiuliza kuhusu usalama wa kadi yako? Hebu fanya mpango ukague kadi yako na ujiridhishe kama haijadukuliwa na fedha zako kutumika kulipa huduma ambazo hukuzitumia. Mtandao unaojihusisha na matumizi ya kadi za…
Waliofuja KNCU hawatapona – Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema serikali inaendelea na uhakiki wa mali zote za Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Kilimanjaro (KNCU) na kuonya kuwa hakuna atakayepona kwa wale wote watakaobainika kufuja mali za chama hicho kikongwe nchini. Baadhi ya viongozi…
Wananchi waitunishia Serikali msuli
Mvutano umeibuka kati ya serikali na wakazi wa Kata ya Nyatwari, Wilaya ya Bunda, mkoani Mara baada ya wananchi hao kutakiwa kuhama huku wao wakipinga amri hiyo. Wananchi hao wametakiwa kuondoka kwenye kata hiyo ili kupisha njia ya wanyama wanaotoka…
Tuongeze uwekezaji elimu
Kwa muda sasa tunapata taarifa kutoka sehemu mbalimbali za nchi juu ya uhaba wa vyumba vya madarasa kwa watoto walioshinda mtihani wa darasa la saba kwenda kidato cha kwanza mwaka 2018. Malalamiko ya ukosefu wa vyumba vya madarasa yameanza kujitokeza…
NINA NDOTO (8)
‘Tumezaliwa kwa ajili ya wengine’ Hapo zamani za kale kulikuwa na mkulima aliyenunua vibuyu viwili vya kutekea maji. Baadaye alikuja kugundua kwamba kibuyu kimoja kilikuwa kimetoboka sehemu ya chini. Mkulima huyo alizoea kutekea vibuyu hivyo maji kutoka mtoni na…
Wananchi walilia fidia mradi wa umeme
Wananchi wa maeneo ya Kinyerezi, Chalinze na Tanga waliohamishwa kupisha mradi wa umeme wa North, East, Grid wa (Kv 400), wameilalamikia serikali kwa kushindwa kuwalipa fidia licha ya zoezi la uhakiki wa maeneo hayo kukamilika tangu mwaka 2015. Wakizungumza na Gazeti la…