JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Msuva arudishwa Stars

Na Isri Mohamed Mchezaji Simon Msuva amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa (Taifa Stars) kitakachoingia kambini kesho Novemba 07, kujiandaa na mechi mbili za mwisho za kufuzu AFCON dhidi ya Guinea na Ethiopia. Msuva alizua taharuki baada ya jina…

Trup ajitangaza mwenyewe kuwa mshindi kiti cha urais Marekani

Wakati zoezi la kupiga kura za Urais nchini Marekani, Mgombea Donald Trump wa chama cha Republican amejitangaza mwenyewe kama mshindi, kufuatia matokeo yanayoonesha kuwa kuwa yuko mbele kumzidi mpinzani wake Kamala Harris. Trump ametangaza kushinda tena Urais wa Taifa hilo…

Uraia pacha ni hatari kwa usalama wa taifa letu

Na John Haule, JamhuriMedia, Arusha Wengi tuliofika elimu ya sekondari tumejifunza kwa kiasi maana ya uraia na dhana ya uraia pacha( dual citizenship) na katika nchi yetu Tanzania uraia wa Tanzania unasimamiwa na sheria ya mwaka 1995 sura namba 357…

Uwekezaji mkubwa sekta ya madini ulivyochagia mapato kuongezeka

• Ajira zamwagwa kwa Watanzania, Minada ya Madini kurejeshwa, Mauzo yapaa Na Vicky Kimaro- Tume ya Madini “Serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika Sekta ya Madini, tumenunua mitambo mikubwa, mitano imeshafika nchini, kumi ipo njiani inakuja, mitambo hii itawarahisishia wachimbaji wadogo…

Benjamin Netanyahu amfuta kazi Yoav Gallant, Waziri wa Ulinzi

Katika hatua iliyoibua gumzo kubwa, Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ametangaza mabadiliko makubwa serikalini kwa kumfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Yoav Gallant, na kumteua Israel Katz kuchukua nafasi hiyo. Hatua hii inakuja katikati ya mzozo unaoendelea Gaza, ambapo Netanyahu…

Wanamgambo wa RSF wazingira mji wa Al-Hilaliya, jimbo la Al-Jazirah Sudan

Wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) wanaendelea na unyanyasaji wao mashariki mwa jimbo la al-Jazirah, ambapo wanashambulia raia. Katika Jimbo hili, unyanyasaji umeenea kwa kiwango kikubwa sana. Kwa mfano, katika mji wa Al-Hilaliya, kilomita 70 kutoka Wad Madani,…