JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Huduma ya mwendokasi ina mushkeli, irekebishwe

Namshukuru Mwenyezi Mungu kutujalia uhai na wenye afya njema. Kila siku tukiamka ni siku mpya na yenye matumaini kwa misingi kwamba zipo fursa nyingi za kutuwezesha kuyamudu maisha yetu ya kila siku hasa katika Jiji la Dar es Salaam. Wengi wetu…

Ruge Mutahaba umeondoka, umetuachia funzo

Ni wiki moja sasa tangu familia, Clouds Media Group na taifa wampoteze kijana mashuhuri, Ruge Mutahaba. Baada ya wiki moja sasa tangu kifo chake, nashindwa niandike nini? Lakini sikosi cha kuandika, maana maisha ya Ruge yalikuwa kama Msahafu ama Biblia,…

Uhaba nyumba za walimu ni janga

Ni ukweli usiopingika kuwa pamoja na jitihada za serikali katika kuhakikisha inapunguza tatizo la upungufu wa nyumba za walimu, bado kuna changamoto kubwa kwenye sekta hii nyeti (moyo wa taifa) kwa mustakabali wa taifa! Kwa mujibu wa Chama cha Walimu…

Kila zama na kitabu chake, tunaona ya Awamu ya Tano

Rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, kati ya mambo anayohusishwa nayo ni msemo maarufu kwamba: “…kila zama na kitabu chake.” Bila shaka msemo huu kutoka kwa mzee Mwinyi unalenga kutufanya tuwe makini ili tusichanganye mambo yanayofanyika kwa sasa na yaliyofanyika wakati…

Ndugu Rais tuonyeshwe wanao busara ni kitu gani!

Ndugu Rais, Mwenyezi Mungu alipomuumba Julius Kambarage Nyerere katika nchi hii hakumuumba peke yake. Aliwaumba wengi wenye busara kama za Nyerere. Ni kipi baba kinawafanya watu wako wasione kama huwatumii wanawema hawa wengi uliopewa na Muumba wako? Hii ni kasoro…

Vijana ni ‘bomu’ linalohitaji kuteguliwa

Nimewahi kuandika makala kwenye safu hii nikifafanua baadhi ya faida ya taifa lolote kuwa na vijana wengi zaidi ya wazee. Bara la Afrika lina wakazi wenye wastani mdogo zaidi wa umri kuliko mabara mengine yote; Niger ikiwa nchi inayoongoza Afrika…