Author: Jamhuri
Kupata hedhi isiyokoma inaashiria tatizo
Ni kawaida kwa mwanamke aliyepevuka kupata hedhi ya kila mwezi katika mzunguko wake kutokana na mabadiliko ya homoni, ambapo mfuko wa uzazi unatengeneza ukuta mpya kwa ajili ya mapokezi ya utungishwaji wa mimba. Kwa kipindi hicho mwanamke anapitia siku kadhaa…
Sao Hill: Mgodi wa miti
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuandika makala hii kuhusu Kiwanda cha Sao Hill cha kuchakata magogo ili kupata mbao na bidhaa nyingine zitokanazo na miti au rasilimali misitu. Kiwanda cha misitu – Sao Hill Industries Ltd – ni miongoni mwa…
Rais Magufuli: Tunawapenda, tuwahitaji wawekezaji na wafanyabiashara
Hotuba ya Rais John Magufuli kwenye hafla aliyoindaa kwa ajili ya mabalozi na wakuu wa mashirika ya kimataifa kukaribisha mwaka mpya 2019 Ikulu, Dar es salaam; Machi 8, 2019 Mheshimiwa Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na…
Mikasa ya maisha ya Kingunge
Kwa mara ya kwanza, Kavazi la Mwalimu Nyerere limechapisha kitabu kuhusu maisha ya mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale – Mwiru. Kitabu hicho kimezinduliwa Machi 6, wiki iliyopita, kikiitwa ‘Kutoka Kavazini – Mazungumzo na Kingunge wa Itikadi ya Ujamaa. Kingunge Ngombale…
Ndugu Rais umesema wanao tumekusikia
Ndugu Rais, ukifanya vema lazima tukuambie umefanya vema. Ukiwaapisha makamishna wa Polisi, Ikulu jijini Dar es Salaam, baba ulisikika ukisema, “…Lakini kuna mambo mengine tu ambayo ni ya kawaida ambayo Jeshi letu la Polisi mnatakiwa myaelewe kwamba Watanzania siyo wajinga…
Jumuiya ya Afrika Mashariki inayumba
Hali ya kutoelewana iliyopo kati ya Rwanda na Uganda, nchi mbili wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, inatishia utangamano wa jumuiya hiyo. Uhasama kati ya nchi hizi mbili ni wa muda mrefu na umewahi kusababisha mapambano ya silaha kati ya…