JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Watumishi Wizara ya Ardhi wapora ardhi

Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, wanatuhumiwa kutumia nyadhifa zao kupora shamba la hekari 74.2 mali ya Mwenegowa Mwichumu mkazi wa Kibada Kigamboni Dar es salaam. Kabla ya uporaji huo shamba hilo lililokuwa na…

Tumetimiza miaka 5

Leo ni siku yenye umuhimu wa pekee kwa Kampuni ya Jamhuri Media Limited, wazalishaji wa Gazeti la JAMHURI. Leo tumetimiza miaka mitano (5) tukiwa sokoni tangu tulipochapisha nakala ya kwanza ya Gazeti la JAMHURI siku ya Desemba 6, mwaka 2011….

Rais Magufuli bado hujafunguliwa ukurasa wa jela ukausoma

Nilimsikiliza Rais John Pombe Magufuli aliposema na Askari Magereza pale Ukonga, pia nilikuwako gerezani Ukonga wakati Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea gerezani na kutoa kauli tete “pasua raha ndani ya taabu.” Kikwete hakuwakusudia wafungwa mabaya isipokuwa aliukumbuka usemi walioutumia wapiganaji…

Tunduma Uchumi ni kilio

Kwa muda wa wiki sasa nimekuwa hapa katika Mji wa Tunduma. Mji huu ni mji unaoongoza kwa kuwa na benki nyingi, idadi ya watu si haba na miundombinu yake baada ya kujengwa Barabara ya Tunduma Sumbawanga, si haba. Kwa sasa…

Gavana: Amana za mabenki trilioni 15.7

Dar es Salaam. Sekta ya fedha nchini hasa mabenki yametakiwa kubuni namna mpya ya kuwafikia wateja wengi zaidi ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuongeza amana, maana katika kila shilingi 100 inayotolewa na Benki Kuu, ni shilingi 40, ndiyo inaingia…

Afrika bara kubwa lenye changamoto nyingi

Kijiografia Bara la Afrika ni miongoni mwa Mabara sita yanayo unda Ulimwengu huu likiwa ni la pili kwa ukubwa wa maili za mraba zipatazo 11,700,000 sawa na asilimia 22% za eneo lote la dunia. Bara hili la Afrika linafahamika kama…