Author: Jamhuri
BoT wamtosa mteja aliyeibiwa Ecobank
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema haiwezi kufanya chochote kumsaidia mfanyabiashara aliyeibiwa fedha kwenye akaunti yake katika Ecobank, Tawi la Uhuru, jijini Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania (Divisheni ya Biashara) imeitia hatiani Ecobank Tanzania Limited kwa kumwibia mteja…
Tuhuma za ufisadi zatanda Kwimba
Kumeibuliwa tuhuma za ubadhirifu wa mamilioni ya fedha za miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza. Miradi mitano ya ujenzi imekwama. Miradi iliyokwama ni ujenzi wa vyumba vya maabara wa mwaka 2014; kliniki ya mifugo na…
Wanaolalamikiwa warejee hotuba ya Rais bungeni
Novemba 25, mwaka 2015, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, alifungua Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kulihutubia. Katika hotuba yake hiyo, Rais Magufuli alibainisha mambo kadhaa aliyokuwa ameyabaini wakati wa kampeni za Uchaguzi…
NINA NDOTO (14)
Muda ni mali, utumie vizuri Watu wanaoishi ndoto zao ni wazuri sana katika suala linalohusu matumizi ya muda. Muda ni mali, utumie vizuri. Wakati mwingine utasikia watu wakisema muda ni pesa, lakini kwangu mimi jambo hilo ni la tofauti…
Jaji azuia waandishi kuripoti kesi ya mauaji
Jaji Firmin Matogolo anayesikiliza shauri la mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Scolastica ya Himo, Humphrey Makundi, ameingia kwenye mvutano na waandishi wa habari wanaoripoti kesi hiyo baada ya kuwapiga marufuku kutonukuu chochote juu ya mwenendo wa…
Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (9)
Mpendwa msomaji, leo ni siku nyingine tunapokutana hapa. Nikiri wiki iliyopita nilihitimisha makala hii na maneno haya: “Mwisho, nawaomba wasomaji wangu, mniruhusu nisiwe ninawajibu maswali yenu kwa sasa kwani ni mengi. Nikiingia katika kujibu maswali hayo kama nilivyofanya leo, hakika…