JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

2017 mwaka wa machungu

Nitumie fursa hii kuwatakiwa Heri ya Mwaka Mpya Watanzania wote, ikiwa ni pamoja na kuwapa pole wale wote waliopatwa na misukosuko ya hapa na pale. Pamoja na salamu hizo za Mwaka Mpya, nasikitika kuanza mwaka huu mpya wa 2017 kwa…

KKKT kuchunguza tuhuma za ushoga

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini, limeunda kikosi kazi kuchunguza tuhuma za baadhi ya Wachungaji na Wainjilisiti wa kanisa hilo, wanaotuhumiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Kikosi hicho kimeundwa wiki iliyopita na Askofu wa Kanisa…

Sherehe zimekwisha, tuchape kazi

Mpendwa msomaji, Heri ya Mwaka Mpya 2017. Leo nimeona niandike mada inayohusiana na maisha. Nafahamu kuwa mwezi uliopita ulikuwa wa mapigo. Kwa wenzangu na mimi wanaofanya biashara za kubangaiza, umekuwa mwezi mgumu kuliko maelezo.  Mwezi huu ndiyo usiseme. Kwa watu…

Mgogoro wa Israel na Palestina -2

Katika sehemu ya kwanza ya makala hii, wiki iliyopita tulishuhudia eneo la Jeruzalem lilivyokuwa likikaliwa na Wafilisti na Wayahudi bila shida. Leo tunakuletea sehemu ya pili, inayoendeleza simulizi za chimbuko la mgogoro wa Waisrael na Wapalestina. Endelea… Kwa mujibu wa…

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 28

Wafanyabiashara pasua kichwa   519. Misamaha ya kodi inayotolewa na IPC imekuwa ikitoa mwanya wa kuvuja kwa mapato ya serikali. Baadhi ya wawekezaji wamekuwa wakiomba misamaha kwa vitu vingi kuliko wanavyohitaji kukamilisha miradi yao. Kwa mfano pale ambapo mwekezaji alihitaji…

Elimu ya kemikali tatizo mkoani Geita

Mkoa wa Geita ni miongoni mwa mikoa ambayo kuna migodi ya dhahabu, ambayo pia inahusisha matumizi ya kemikali bila kufuata masharti kama yalivyoainishwa na ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali. Kumekuwapo na matumizi ya kemikali hatarishi katika mazingira bila kujali…