JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Heri ya mchawi kuliko mwongo

Juma lililopita katika safu hii, nilizungumzia maneno mawili haki na batili. Haki inavyoelekeza jamii ya watu katika kweli, na batili inavyopotosha jamii hiyo katika dhuluma. Mgongano huo kifalsafa ubajenga hali ya ‘figisufigisu’ ndani ya jamii ya Watanzania. Leo naelekeza fikira…

FIFA kufanya mapinduzi ya soka

Rais mpya wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, amekuja na mapendekezo mapya ya kutaka kufanya mabadiliko katika mchezo wa soka. Baada ya kuongeza timu zitakazoshiriki Kombe la Dunia mwaka 2026 na kufikia 48, Rais huyo amekuja na mapendekezo mapya…

Polisi, mbunge washiriki ‘wizi’

Mchezo wa wanasiasa kutumia kampuni za mfukoni kunyofoa rasilimali za umma bado unaendelea, baada ya JAMHURI kubaini kuwa mmoja wa wabunge wamejipatia zaidi ya Sh bilioni 40 kwa njia ya udanganyifu. Kibaya zaidi na bila woga, waliokabidhiwa dhamana ya kulinda…

Watendaji Kilwa wachunguzwa

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi, ameiagiza Wilaya ya Kilwa kuunda timu itakayofanya uchunguzi ili kubaini watendaji waliosababisha kukwama kwa ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Kisongo, pamoja na ujenzi wa maabara ya Shule ya Sekondari Kata ya Lihimalyao. …

Lukuvi, Kakoko kumaliza mgogoro ardhi Mtwara

Wiki moja baada ya gazeti hili kuchapisha makala kuhusu mgogoro wa ardhi kati ya Mamlaka ya Bandari ya Mtwara na wananchi wa Kitongoji cha Ng’wale, Mtwara Vijijini, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), Deusdedith Kakoko, na Waziri…

Mvutano mpya Loliondo

Wakati Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro ikitoa ratiba ya mpangokazi wa Kamati Shirikishi ya Mapendekezo ya Kumaliza Mgogoro wa Pori Tengefu la Loliondo katika Wilaya ya Ngorongoro, mkakati mpya wa kukwamisha mpango huo umebainika. Mpango huo, uliotolewa na…