JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

TRC : Kusimama kwa treni ya mchongoko ni hujuma

TRC: KUSIMAMA KWA TRENI YA MCHONGOKO NI HUJUMA Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limeutaarifu umma kupuuza taarifa zinazosambazwa na baadhi ya watu kuhusu kusimama kwa treni za EMU, Electric Multiple Unit (mchongoko) pamoja…

Waziri Silaa mgeni rasmi mkutano wa nane wa Jukwaa la Wahariri kesho

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa anarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano Mkuu wa nane wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF). Mkutano huo ambao unaanza kesho Alhamisi Novemba 07-09,…

Bei za Mafuta mwezi Novemba 2024 zaendelea kushuka

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma BEI za reja reja za mafuta kwa mwezi Novemba 2024 zimeendelea kushuka ambapo bei ya petroli kwa Dar es Salaam na Tanga imeshuka kwa asilimia 2.26 ambayo ni sawa na shilingi 68 kwa lita, huku…

DAWASA yakutana na wananchi Msakuzi kupata hatma huduma ya maji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imekutana na wananchi wa eneo la Msakuzi kwa Lubaba, Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo kwa lengo la kufahamu mipango na maendeleo ya miradi ya…

Serikali yaeleza jitihada inazochukua kuwezesha matumizi ya gesi kwenye magari

📌 Kapinga ataja msamaha wa kodi asilimia 25 kwa injini za magari yanayotumia gesi asilia iliyotolewa 2023/2024 📌 Aeleza Serikali ilivyojidhatiti kupeleka umeme kwenye maeneo yote nchini Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema kupitia Bajeti Kuu Serikali ya…

Mchango wa vyama vya siasa katika kumwezesha mwanamke kuwa kiongozi

Na Fauzia Mussa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992, inaeleza kuwa uongozi wa kisiasa ni moja ya mlango mkubwa na njia muhimu ya kuwa kiongozi mwenye fursa ya kutoa maamuzi katika nchi. Hadi sasa…