JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mtuhumiwa kuachiwa huru kwa ushahidi wa utambuzi

Katika Rufaa ya Jinai Namba 273 ya 2017, kati ya GODFREY GABINUS @ NDIMBA  na YUSTO ELIAS NGEMA •••..•.•.•••••.••••.•••.••••.•••• APPELLANTS Na EXAVERY ANTHONY @ MGAMBO dhidi ya JAMHURI (haijaripotiwa), hukumu ya Februari 13,  mwaka huu (2019) majaji watatu wa Mahakama ya…

MAISHA NI MTIHANI (27)

Hofu ya kushindwa isizidi furaha ya kushinda   Hofu ni mtihani. Hofu ya mwanamke ni hofu ya kutumiwa na baadaye kuachwa. Hofu ya mwanamume ni hofu ya kushindwa kwenye maisha. “Palipo na hofu hakuna furaha.” (Seneca). Anayeogopa kitu anakipa nguvu…

Uhuru una kanuni na taratibu zake (2)

Baada ya kutambua maana na aina ya uhuru katika sehemu ya kwanza ya makala hii, leo nakamilisha kwa kuangalia kanuni na taratibu za uhuru. Uhuru una thamani unapotekelezwa kwa kuzingatia kanuni zilizopo na kusimamiwa na taratibu zilizokubaliwa na watu walio…

Yah: Mambo ya ziara ya rais mikoani

Salamu nyingi sana wote mliotembelewa na rais, hasa mikoa ya Kusini ambako alikuwepo kuwapa salamu na shukurani za kumchagua, lakini kubwa zaidi kuzindua na kufungua miradi ambayo kwa mujibu wa sera za chama chake waliahidi watatekeleza. Naamini mmefurahi kuona mambo…

Rekodi za kutisha UEFA

Leo ni leo katika historia ya mashindano ya Klabu Bingwa barani Ulaya (UEFA Champions League), ambapo hakuna historia isipokuwa rekodi maridhawa, wakati Tottenham Hotspurs ya Uingereza ikipambana na Ajax ya Uholanzi, huku kesho mabingwa wenye historia zinazofanana wakimenyama katika dimba…

CUF njia panda

Wabunge 24 wa Chama cha Wananchi (CUF) wanaomuunga mkono aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Shariff Hamad, ambaye amehamia Chama cha ACT – Wazalendo, wataendelea kushikilia ubunge wao hali inayoiweka CUF njia panda, JAMHURI limeelezwa. Wabunge hao walijikuta…