JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Milioni 950/- zawarusha CCM, Rahaco

Milioni 950/- zilizotakiwa kulipwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama fidia ya Kiwanja namba 228, Kitalu K, Mivinjeni Kurasini jijini Dar es Salaam, zimezuiwa kwa takribani mwaka mmoja katika Ofisi ya Mkurugenzi Manispaa ya Temeke kutokana na mgogoro kati ya…

Wenye masikio wamemsikia Trump

Donald Trump ameapishwa kuwa Rais wa 45 wa Marekani. Huyu ni Rais wa taifa lenye nguvu kubwa za kiuchumi na kijeshi kuliko taifa lolote katika sayari hii. Ushindi wa Trump haukutarajiwa na wengi. Maneno yake kabla na wakati wa kampeni…

Meneja MPRU awa Mungu mtu

Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu (MPRU), Dk. Milali Machumu, amelalamikiwa na watumishi wa taasisi hiyo kwa matumizi mabaya ya fedha za umma, ubabe na ubaguzi kwa watumishi, mambo  yanayochangia sekta ya utalii kudorora. Dk….

Trump ameapishwa, Jammeh Ehe!

Nchini Marekani, mwezi Novemba, 2016 walifanya uchaguzi wa Rais. Aliyekuwa mgombewa wa Chama cha Republican, Donald Trump alishinda katika mazingira yaliyoshangaza wengi. Alimshinda aliyekuwa mgombea wa Democrat, Hillary Clinton. Ingawa Clinton alishindwa katika kura za majimbo, aliibuka mshindi katika kura…

Mgogoro wa Israel na Palestina -5

Wiki iliyopita makala hii iliishia kwa kueleza kuwa Palestina si makazi ya kihistoria ya Wayahudi. Mnamo 1920 baada ya suala la udhamini wa Uingereza kwa Palestina lilipojadiliwa na Bunge- The House of Lords, Lord Sydenham alitamka… Endelea.   “Naeleza kwa…

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 31

Ardhi ni kichomi ARDHI 601. Tanzania ina eneo la Kilomita za mraba 942,000. Kati ya hizo kilomita za mraba 888,578 ni eneo la ardhi. Idadi ya watu kwa kilomita ni ndogo isipokuwa kwa maeneo machache kama Wilaya za Ukerewe, Rungwe,…