JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mazito ya Mengi

Mfanyabiashara maarufu nchini na kimataifa, Reginald Mengi, amekuwa na maisha yenye mengi, kuanzia mwenendo wake binafsi na mwenendo wake ndani ya jamii alimoishi. Undani wa maisha yake umejibainisha katika kitabu chake cha hivi karibuni kinachoitwa “I Can, I Must, I…

Lo! Misafara ya wakubwa

Mpita Njia (MN) wiki iliyopita akiwa mdau muhimu wa masuala ya habari nchini aliungana na waandishi wa habari katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani. MN amesikia mengi katika maadhimisho hayo. Amesikia vilio vya wanahabari wanaoendelea…

Mateso magerezani…

Mahabusu 200 waachiwa huru   Mahabusu 201 waliokuwa katika magereza ya wilaya za Musoma, Tarime na Serengeti mkoani Mara wamefutiwa kesi zilizowakabili. Hatua hiyo imekuja baada ya ziara ya ukaguzi ndani ya magereza hayo iliyofanywa na Naibu Katibu Mkuu wa…

Avamia ardhi ya mwenzake kibabe

Kumeibuka mgogoro wa ardhi katika Kisiwa cha Juma Kisiwani, Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, unahusu ekari 26 zinazomilikiwa na mfanyabiashara wa madini, Baraka Chilu; lakini mfanyabiashara wa samaki, Joseph Njiwapori, anadaiwa kulivamia eneo hilo. Serikali ya Kijiji cha Juma Kisiwani imelifikisha…

Matajiri wengine waige mfano wa Dk. Mengi

Reginald Mengi, mmoja wa wafanyabiashara wachache wanaotajwa kuwa na moyo wa kuwasaidia binadamu wenzao, hatunaye tena duniani. Tangu taarifa za kifo chake zianze kusambaa wiki iliyopita, mamia kwa maelfu ya waombolezaji – ndani na nje ya nchi – wamejitokeza kutoa…

NINA NDOTO (17)

Msamaha si kwa ajili yako bali kwa wengine   Unapokosewa kuwa tayari kutoa msamaha kwa anayekukosea, unapokosa omba msamaha pia. Kusamehe ni jambo lililowashinda watu wengi, ukijenga tabia ya kusamehe wanaokukosea utakuwa umejiondoa katika kundi la wengi. Usiposamehe siku zote…