Author: Jamhuri
Yah: Mambo ni mengi muda mfupi, Rais tusaidie
Lazima nianze na salamu na kongole kwa wote ambao mmefunga mwezi huu mtukufu, ni kama vile tumepishana kidogo na wenzetu Wakristo ambao wametoka kufunga, hii ni neema na ninaamini kuna kitu chema kinakuja mbele kutokana na imani za kidini na…
Umri mdogo sifa kibao
Sifa kubwa alizonazo Aslay ni ule uwezo wa kutunga, kuimba na kurekodi nyimbo nyingi kwa kipindi kifupi. Aslay ni msanii wa kizazi kipya ambaye tungo zake zimekuwa zikiwakuna wapenzi wa muziki huo, ndani na nje ya nchi. Nyimbo za kijana…
Ligi Kuu hekaheka
Hadi hivi sasa tunaweza kusema timu ya Simba SC, Yanga SC, Azam, KMC, Lipuli na timu ya Mtibwa Sugar zimefanikiwa kujitengenezea ‘dunia’ ya peke yao katika Ligi Kuu Tanzania Bara, licha ya ligi hiyo kubakiza mechi chache kabla ya kufikia…
Wamdanganya Magufuli
Kashfa imegubika maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi mwaka huu yaliyofanyika kitaifa jijini Mbeya. Kashfa hiyo imekikumba Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (TRAWU). Ndani ya chama hicho, baadhi ya viongozi wake wanadaiwa kuwasilisha jina la kigogo…
Aibu barabara za ‘City Center’ Dar
Mvua zimekuwa jambo la kutia aibu katika Jiji la Dar es Salaam. Kwa wengi jijini Dar es Salaam, kama ni suala la kuchagua kati ya mvua na jua ili kutunza aibu ya uongozi wa jiji hilo, basi ni afadhali kuvumilia…
Bodaboda ahofiwa kufia Polisi
Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linatuhumiwa kumuua kwa kipigo dereva wa bodaboda, Josephat Jerome Hans, baada ya kumtuhumu kwa wizi wa kompyuta mpakato (Laptop) katika nyumba ya kulala wageni ya Blue Sky jijini humo. Tuhuma hizo zimo kwenye barua ya…