Author: Jamhuri
Wanaotaka kufika kileleni Kilimanjaro wasibebwe
Nimesikia Serikali inatathimini kuweka cable car kwenye Mlima Kilimanjaro ili kuwafikisha wageni kileleni kwa haraka. Cable car ni mfumo wa usafiri unaobeba abiria kwenye behewa dogo linalosafiri kwa kuning’inia kwenye waya zilizopitishwa kwenye nguzo. Naamini zipo sababu nyingi nzuri za…
Kesi ya Sumry High Class, Manji
Moja ya faida kubwa ambayo huwavutia wengi kuacha kufanya biashara kama mtu binafsi na kuamua kufanya biashara kwa kutumia kampuni ni hii ya kuwa kampuni na mmiliki ni vitu viwili tofauti, hivyo kosa la kampuni halimhusu mmiliki na kosa la…
Kutokujiandaa ni kujiandaa kushindwa (2)
Mwandishi T. L. Osbon anasema: “Ukiacha kujifunza unaanza kufa.” Tafuta wazo jipya kila siku. Kumbuka usipotumia nguvu nyingi kuwaza mawazo yatakayoibadili dunia ni lazima utaajiriwa na watu waliotumia nguvu nyingi kuwaza mawazo yaliyoibadili dunia. Mwandishi wa vitabu vya kiroho, Tony …
Kujua ni kinga ya majuto
Kujua ni mtihani. Majuto ni mjukuu kwa sababu kuna kutokujua. “Ningejua” huja baadaye. Ukijua huu, ule huujui, ukijua hiki, kile hukijui. Haitoshi kujua, lazima kujali. “Hakuna anayejali kiasi unachokijua, mpaka ajue kiasi unachojali,” alisema Theodore Roosevelt. Kujua ni mtihani. “Kujua…
Tumekubali kuwa watu wa porojo
Hakuna wiki inayopita bila taifa letu kuingizwa kwenye mijadala. Mijadala yenye tija ni kitu cha maana. Shida ni pale tunapojikuta tukihangaishwa na mambo yasiyokuwa na faida yoyote – si kwa mtu binafsi wala kwa taifa letu. Kwenye mitandao ya kijamii…
Masharti ya maendeleo
“Kila mwananchi anataka maendeleo, lakini si kila mwananchi anaelewa masharti ya maendeleo, sharti moja kubwa ni juhudi. Sharti la pili la maendeleo ni maarifa. Juhudi bila maarifa haiwezi kutoa matunda bora kama juhudi na maarifa.” Nimenukuu maneno haya kutoka katika…