JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

NINA NDOTO (18)

Taa nyekundu na kijani za maisha   Zamani nilipokuwa nikisafiri na kupita katikati ya jiji palipokuwa na taa na kukuta taa nyekundu inawaka nilikasirika. Nilitamani muda wote taa ya kijani iwake ili tupite. Siku hizi nikifika na kuona taa nyekundu…

Tumlilie mzee Mengi tukitafakari maneno yake

Hakuna mtu anayeweza kuandika yote ya Dk. Reginald Mengi. Hata watu alioshinda nao na kukaa nao kwa miaka mingi, hawawezi kuyaeleza yote.  Huyu alikuwa mtu wa kitaifa na kimataifa. Alikuwa mtu wa watu wote, wadogo, wakubwa, maskini, walemavu, matajiri, wanasiasa…

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (14)

Wiki iliyopita nilihitimisha makala hii kwa kuhoji iwapo unazifahamu nyaraka tatu muhimu unazopaswa kuwa nazo baada ya kusajili kampuni. Nyaraka hizi nimepata kuzigusia katika makala zilizotangulia na hata nilipozungumzia Jina la Biashara nilizigusia. Kabla sijaingia kwa kina kuzungumzia nyaraka hizi,…

‘Bila elimu – dini tutakwama’

Miaka 20 kifo cha Mwalimu Nyerere Mei 16, mwaka huu Chama cha Wanataaluma Wakristo Tanzania (CPT) ambacho ni chama cha kitume ndani ya Kanisa Katoliki kiliandaa kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Dhamira…

Bandari inafanya kazi saa 24

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kushirikiana na wadau wake wa bandari imeboresha na kurahisisha utoaji huduma kwa wateja wake katika Bandari ya Dar es Salaam. Uboreshaji huo umefanyika na unaendelea kufanyika kwa sababu bandari ni lango kuu…

‘Wosia’ wa Dk. Reginald Mengi

Jumanne, Mei 7, mwaka huu maelfu ya Wana Dar es Salaam walikusanyika katika Ukumbi wa Karimjee kuaga mwili wa mpendwa wetu Dk. Reginald Mengi. Runinga za ITV, Star TV, Channel 10, Clouds TV, televisheni za mitandao ya kijamii na redio…