JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Zoezi la utayari katika afya EAC lipewe uzito

Mwezi ujao, kwa muda wa siku nne, kuanzia tarehe 11 hadi 14, Tanzania itashiriki zoezi la kupima utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani. Hali hiyo inatokana na nchi za Ukanda…

NINA NDOTO (19)

Uaminifu unalipa   Uaminifu ni tabia ya mtu  kuaminika. Kama watu hawakuamini si rahisi kutimiza ndoto yako. Uaminifu unalipa. Watu wakikuamini ni mojawapo ya hatua kubwa ya kuzifikia ndoto zako. Uaminifu hujengwa, lazima kuna mambo unatakiwa kuyafanya ili watu waweze…

Bandari: Taratibu za kusafirisha mzigo ng‘ambo

Kwa siku za karibuni yamekuwapo malalamiko yasiyo rasmi juu ya wateja kucheleweshewa mizigo inayosafirishwa nje ya nchi, hasa mizigo ya mazao yanayoharibika haraka (perishable goods) kama maparachichi. Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeyaona malalamiko hayo kupitia vyombo vya habari ikiwemo…

Kumbukizi miaka 20 bila Mwalimu Nyerere

Tunakosea kuwasifu wakwapuzi   Mei 16, mwaka huu Chama cha Wanataaluma Wakristo Tanzania (CPT) ambacho ni chama cha kitume ndani ya Kanisa Katoliki kiliandaa kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Dhamira ya kongamano…

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (15)

Wiki iliyopita nilihitimisha makala yangu kwa kuahidi kuwa kuanzia makala ya leo nitaanza kuzungumzia kodi na tozo mbalimbali katika biashara. Katika makala hii ya Jinsi ya Kuanzisha Biashara Tanzania, kupitia vitabu na sheria mbalimbali nilizosoma, nimebaini kuwa kuna kodi za…

Ndugu Rais uliliambia taifa vema Watanzania si wajinga

Ndugu Rais, kwa kuwapenda watu wako, uliwatahadharisha viongozi wao kuwa watambue ya kwamba Watanzania si wajinga. Wana uwezo wa ‘kuanalaizi’ na kuchambua mambo. Wakinyamazia jambo kubwa wajue mioyo yao haiko, ‘clear’. Ndugu yetu Harrison Mwakyembe Waziri wetu aliwahi kuliambia Bunge…