Author: Jamhuri
Sasa iwe zamu ya ‘chainsaw’
Wiki mbili zilizopita katika safu hii niliandika makala nikieleza hisia zangu kuhusu hatua ya Kenya kutupiku kwenye fursa ya kufundisha lugha ya Kiswahili nchini Afrika Kusini. Siku chache baadaye, Rais John Magufuli, akawa na ziara katika mataifa matatu – Afrika…
Yah: Kiswahili ni bidhaa ya kuuza nje, walimu changamkeni
Nimeamka nikiwa na furaha sana baada ya kusikia kumbe tunatembea na bidhaa bila kujijua. Ni wachache ambao walikuwa wanajua kwamba Kiswahili ni fedha, hasa ni wale wenzetu ambao wanatumia mitandao ya kuzunguka duniani wakiwa wamekaa katika viti vyao, sisi huku…
Tujali Polisi na Mahakama
Ni vema tukakumbuka tuna wajibu wa kujali na kuheshimu (kuthamini) vyombo vyetu vya Polisi na Mahakama, ambavyo tumeviridhia kusimamia usalama wetu na kutoa haki. Ni vyombo nyeti katika mustakabali wa maisha yetu, uhuru na amani ya taifa letu. Polisi katika…
Chungeni ndimi zenu
Mtunga Zaburi, Mfalme Daudi aonya hivi: “…Hivyo kiburi kimekuwa mkufu shingoni mwao, jeuri huwavika kama nguo, macho yao hutokeza kwa kunenepa, wameipita kadiri ya mawazo ya mioyo yao. Hudhihaki, husimulia mabaya. Husimulia udhalimu, kana kwamba wako juu.” Zaburi 73:6-8; Mhubiri…
Stars chunga hawa!
Ligi mbalimbali duniani zimemalizika katika msimu wa 2018/2019. Fainali ya Europa na UEFA nazo zimemalizika, hicho kikiwa ni kiashiria kwamba wachezaji wanakwenda katika mapumziko na kuanza maandalizi ya msimu mwingine wa ligi. Pazia la Ligi ya Mabingwa barani Ulaya limefungwa Jumamosi…
Ufisadi, upendeleo CWT
Hali si shwari katika Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kwani wakubwa wa chama hicho kwa sasa wanatazamwa kwa jicho la kutiliwa shaka katika uadilifu wao baada ya kutumia ukabila, udugu na upendeleo wa kila aina kuendesha chama hicho, JAMHURI limebaini….