JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

MAISHA NI MTIHANI (32)

Unatokaje, unaingiaje? Kuingia na kutoka ni mtihani. Kuna kitendawili kisemacho: “Aliingia kwenye nyama akatoka bila kula.” Jibu ni kisu. Mwanafunzi akiingia shuleni kujifunza na kutoka bila ushindi ametoka kama kisu kwenye nyama.  Timu ya mpira ikiingia uwanjani na kutoka imefungwa…

Tumbaku inavyosababisha jangwa Tanzania

Kupatikana teknolojia ya kukausha tumbaku kwa kutumia nishati jadidifu inayotokana na jua nchini China ni jambo la kuigwa na wakulima wa tumbaku kutoka katika mikoa inayolima tumbaku hapa nchini ili kuinusuru misitu inayoteketea. Teknolojia hiyo iliyogunduliwa katika nchi za China…

Demokrasia na haki za binadamu

Demokrasia ni uhuru na uwezo wa watu katika kutawala mwenendo na mambo yote yanayohusu maisha yao kwa kutumia vikao vilivyowekwa kikatiba na kisheria. Demokrasia na haki za binadamu si misamiati mipya kwa Watanzania kuelewa na kutumia katika harakati zao za…

Yah: Wenye ualbino ni wenzetu

Kuna wakati natamani niandike waraka wangu kama ule wa zamani, kwa kutumia lugha yetu, lakini naona kama dunia ya leo imebadilika kiasi kwamba hampendi mambo mengi zaidi ya mambo, vipi? Huwa sipendi salamu hizi. Leo nimeamka nikiwa na hisia tofauti…

Gamboshi: Mwisho wa dunia (1)

Gamboshi ni Kijiji kilichopo katika Wilaya ya Bariadi, mkoani Simiyu. Kijiji hiki kinasifika kwa uchawi kila kona ya Tanzania. Mtunzi wa hadithi hii, Bugulugulu Duu, ameamua kuvaa uhusika wa hadithi hii. Anaelezea kuhusu mazingira na mazingara ya uchawi katika Kijiji cha…

Miaka mitatu baada ya kifo cha Papa Wemba

Miaka mitatu imetimia tangu mwanamuziki nguli, Papa Wemba, kufariki dunia. Ilikuwa mithili ya simulizi za ‘Alinacha’ asubuhi ya Jumapili Aprili 24, mwaka 2016, kuzagaa kwa taarifa za kifo cha mtunzi na mwimbaji mkongwe, Papa Wemba, kwamba amefariki dunia. Taarifa hizo zilieleza…