JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Ndugu Rais kwa hili mwanao ninakuunga mkono

Ndugu Rais umewaita wafanyabiashara Ikulu tambua makundi mengine nayo yanasubiri uwaite. Uamuzi wako wa kutumbua papo kwa papo uliwajengea baadhi matumaini. Ninakuunga mkono. Lakini uliowabadilishia wana tofauti gani na uliowaondolea? Mojawapo lililomuondoa Mwigulu Nchemba si Lugumi Enterprises? Mbadala wake kafanya…

Bandari hailali, chukua mzigo wako saa 24/7

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kushirikiana na wadau wake wa bandari imeendelea kuboresha na kurahisisha utoaji huduma kwa wateja wake katika Bandari ya Dar es Salaam. Uboreshaji huo unaendelea kufanyika kwa sababu bandari ni lango kuu la…

Serikali hazina uwezo kumaliza matatizo yote

Narudia mada ambayo hunikosesha usingizi mara kadhaa kila mwaka: elimu. Mahsusi ni ugumu wa kuhimiza jamii kuchangia uboreshaji elimu. Ni suala ambalo nalikabili kila niwapo kazini kwa sababu ya nafasi yangu kama msimamizi wa asasi isiyo ya kiserikali inayogharimia mahitaji…

Kumshitaki daktari aliyesababisha madhara au kifo

Wako watu wengi wameathirika kutokana na matendo yanayotokana na uzembe, kutojali au makusudi ya madaktari. Wapo waliopata vilema vya muda kutokana na uzembe huo, wapo waliopata vilema vya maisha na wapo waliouawa na madaktari. Ajabu ni kuwa ukifanya tathmini ya…

Usiamini uwepo wa uchawi (3)

George Benerd Shaw alipata kuandika haya: “Maendeleo hayawezekani bila mabadiliko ya fikra na wale ambao hawawezi kubadilika namna wanavyofikiri hawawezi kubadili chochote.” Kila kukicha mwanadamu anakabiliwa na zoezi la kufanya uchaguzi fulani. Ulimwengu huu hauna nafasi kwa watu wanaopuuzia maarifa…

MAISHA NI MTIHANI (33)

Makosa ya wengine ni walimu wazuri Makosa ni mtihani. “Inabidi mtu awe mkubwa kiasi cha kukubali makosa yake, makini kiasi cha kuyafaidi na jasiri kiasi cha kuyasahihisha,” alisema R.B. Zuck. Tunajifunza mambo matatu. Kwanza, yule ambaye hakubali makosa yake bado ni…