JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Waziri Mkuu, Butiama inahujumiwa

Mheshimiwa Waziri Mkuu, naandika barua hii mahususi kwako kuhusu Kijiji cha Butiama ambako ndiko Makao Makuu ya Wilaya ya Butiama. Uamuzi wa kuifanya Butiama kuwa Makao Makuu ya Wilaya ya Butiama ni utekelezaji wa uamuzi wa kikao cha Halmashauri Kuu…

Demokrasia na haki za binadamu – (3)

Wazungu walipoasisi demokrasia wakaweka na misingi mitatu ya kanuni za demokrasia ambazo ni uhuru wa majadiliano, uhuru wa walio wengi kufikia uamuzi na uhuru wa utii wa uamuzi uliokubaliwa katika kikao. Kadhalika walipotoa tangazo la haki za binadamu wakaweka vifungu…

Yah: Ulinzi shirikishi ni laana?

Kuna wakati huwa naamini hakuna sababu ya kupeana salamu kutokana na matukio yanayotokea, kwa kawaida salamu anapewa mtu muungwana na anayepokea ni muungwana, lakini sasa hivi unaweza kutoa salamu ndiyo ukawa mwanzo wa kukaribisha nyoka katika mwili wako, kwa maana…

Gamboshi: Mwisho wa dunia (3)

Wiki iliyopita hadithi hii iliishia katika aya inayosema: “Mwanzoni nilimwona akiwa na urefu wa kawaida, lakini kadiri tulivyokaribiana alizidi kurefuka. Alikuwa anaongezeka mita moja kila hatua aliyopiga. Na baadaye nyayo za miguu yake zikawa zimeziba barabara kwa ukubwa wake,  nikaogopa…

Viungo Stars mhh…

Taifa Stars imeanza vibaya mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa kukubali kipigo cha magoli 2-0 dhidi ya Senegal (Simba wa Teranga) katika dimba la Juni 30, jijini Cairo, Misri. Goli la kwanza la Senegal lilifungwa na Keita…

Bilionea Monaban wa CCM apata pigo

Mfanyabiashara bilionea Dk. Philemon Mollel, anayemiliki kampuni ya Monaban Trading and Farming Co. Limited, amepokwa kinu kilichokuwa mali ya Shirika la Usagishaji la Taifa (NMC) jijini Arusha. Pamoja na kunyang’anywa kinu hicho, Dk. Mollel ambaye ni kada na mfadhili wa…