Author: Jamhuri
Ndugu Rais ‘meseji’ ya Tshisekedi imefika?
Ndugu Rais safari yangu ya kwanza kwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC ilinifanya niwaamini waliosema, tenda wema nenda zako, usingoje shukrani. Ujio wa Rais wa DRC ndugu Félix Tshisekedi umenikumbusha yaliyonitokea huko baada ya Rais Laurent Kabila kuikomboa Zaire…
Hatua rahisi za kutoa gari bandarini
Katika mfululizo wa makala za bandari, leo tunakuletea utaratibu unaotumika katika kuhudumia shehena ya magari hatua kwa hatua katika bandari za TPA, kuanzia meli inavyoingia bandarini, gari linavyoteremshwa kutoka melini, gari linavyopokelewa bandarini, gari linavyotoka bandarini hadi mteja kukabidhiwa gari…
Ya AFCON, Taifa Stars na maagizo ya Rais Yoweri Museveni
Ukitaka kufahamu habari za mjini – mji wowote – muulize dereva wa teksi. Kwa kawaida ana taarifa nyingi na muhimu, na si ajabu kuwa hivyo. Anabeba abiria kila wakati na abiria kama ilivyo tabia ya binadamu yeyote, wana mdomo na…
Kuzuia mwanandoa kuuza ardhi ya familia
Kuna wakati katika maisha ya ndoa, mmoja wa wanandoa anaweza akataka kuuza au kubadili jina la nyumba ama kiwanja bila ridhaa ya mwenzake ilhali nyumba hiyo ni ya familia. Lakini pia nje ya hilo kuna mazingira ambayo mtu anaweza kuwa…
Uponyaji wa majeraha katika maisha
“Nina uwezo mkubwa mno wa kuyafanya maisha yawe ya uchungu au ya furaha. Nina uwezo wa kuwa chombo cha maumivu makali au chombo cha kuvutia, naweza kunyanyasa au kutia hamasa, kuumiza au kuponya. Kama tukiwatendea watu kadiri walivyo, tunawafanya wanakuwa…
Unabii wa kaka Rostam na mzee Kilomoni
Kutofautiana kimtazamo na mtu ambaye amekuwa mwajiri, kaka na rafiki yako, ni jambo linalohitaji roho ngumu. Lakini kwa kuwa tuko kwenye uwanja wa watani wa jadi, naomba leo nitofautiane kidogo na kaka yangu Rostam Aziz. Kabla ya kufanya hivyo, nitangaze…