Author: Jamhuri
Tanzania, Uganda zasaini makubaliano ya uimarishaji mpaka wa kimataifa
Na Munir Shemweta, WANMM Bukoba Tanzania na Uganda zimetia saini makubaliano ya uimarishaji mpaka wa kimataifa baina ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yalifikiwa wakati wa mwisho wa kikao cha Kamati ya Pamoja ya Wataalamu (JTC) kati ya nchi hizo kilichokuwa…
Mlipuko wa Bomu waua 25 stesheni ya treni nchini Pakistani
Takriban watu 25 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa kufuatia mlipuko wa bomu uliotokea katika stesheni ya treni ya Quetta, jimbo la Balochistani nchini Pakistani. Mlipuko huo ulitokea wakati treni ya abiria iliyokuwa imejaa watu ikijiandaa kuondoka mapema…
Miaka 60 ya Uhuru wa Zambia ni faraja kwa Tanzania
Na Lookman Miraji Kwa huu 2024 taifa la Zambia limetimiza miaka 60 ya kuwa taifa huru linalojiongoza lenyewe kupitia mfumo wake wa kikatiba. Rejea historia ya taifa la Zambia inatueleza kuwa taifa hilo lilijitwalia uhuru wake mnamo oktoba 24 ,1964…
Upekee jiolojia ya Tanzania wahamasisha washiriki mkutano wa madini muhimu Afrika
Utekelezaji Vision 2030 wawa chachu ya uwekezaji 📍 Capetown Imeelezwa kuwa Jiolojia ya kipekee ya Tanzania inadhihirishwa na uwepo wa Madini ya Tanzanite ambayo hayapatikani kwingine popote duniani huku yakitajwa kuwa ni madini adimu mara Mia ya madini ya almasi…
Wahariri watakia kupambana na magonjwa ya moyo, JKCI yaeleza vyanzo vya magonjwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wahariri wa vyombo vya habari nchini wametakiwa kuchukua hatua katika kupambana na magonjwa ya moyo ikiwa ni pamoja na kula vyakula bora, kufanya mazoezi na kutokunywa pombe kupitiliza. Rai hiyo imetolewa leo jijini…