Author: Jamhuri
Mtazamo wa Jaji Mkuu usipuuzwe
Wiki iliyopita Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, alipendekeza kufanyika mabadiliko ya sheria ili kuruhusu watuhumiwa wa makosa yote, yakiwamo ya mauaji na uhujumu uchumi kupewa dhamana. Lengo la pendekezo hilo ni kupunguza msongamano kwenye…
NINA NDOTO (27)
Weka malengo Ndoto inahitaji malengo. “Ndoto bila malengo ni ndoto tu, vinginevyo utaishia kupata mambo usiyoyategemea, hivyo kuwa na ndoto na kuwa na malengo,” anashauri Denzel Washington. “Malengo ni maono na ndoto vikiwa katika nguo za kazi,” anasema Dave Ramsey….
Fursa ya kipekee kiuchumi kwako na familia (2)
Mifano ya ujasiriamali yenye uthubutu lakini ikakwamishwa Mwaka 2004 hadi Mei 2006 nilikuwa nimetumia uwezo wangu wa masoko kusajili dawa ya kiasili ya Dental Formula Power (DFP), ambayo inasaidia kutibu na kukinga meno yasipate magonjwa na kuzuia wazee wabaki…
TPA: Mizigo ya wateja iko salama bandarini
Bandari ya Dar es Salaam ni lango kuu la biashara kwa nchi yetu na nchi zote zinazotumia bandari hiyo. Kutokana na umuhimu wake, bandari inahitaji ulinzi madhubuti na wa kiwango cha hali ya juu. Kutokana na umuhimu katika nyanja za…
Ndugu Rais waliotutangulia walisema ukimtuma mpumbavu…
Ndugu Rais, yawezekana katika maisha yetu tulishawatuma wapumbavu wengi tu. Kwa maisha yetu ya hapa duniani hao sasa ndio wanaozishikilia funguo za milango ya magereza yetu. Kama kuna pepo na moto baada ya sisi kupita, hao ndio wanaotusafishia njia yetu…
Dawasa: Tunawaletea maji Dar na Pwani
Wakati wizara na taasisi za serikali zikiendelea kupambana kukamilisha matarajio ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2015 – 2020, katika kuhakikisha jambo hilo linafanikiwa, Wizara ya Maji kupitia Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es…