Author: Jamhuri
Je, kesi haiendelei kwa kukataa kupokea ‘summons’?
Summons ni wito maalumu wa mahakama. Mara zote unapofunguliwa mashitaka (unaposhitakiwa) hasa mashitaka ya madai, basi ili uweze kufika mahakamani na kujua mashitaka yanayokukabili yaipasa mahakama kutuma wito maalumu ambao kwa jina la kitaalamu huitwa ‘summons’. Mara nyingi wito huu…
Palipo na upendo kuna maisha (2)
Ulimwengu wa leo unahitaji kuhubiriwa namna mpya ya kuishi maisha ya upendo. Ni hatari watu wa ulimwengu kuishi bila upendo. Bila kuishi maisha ya upendo, dunia yetu itageuka kuwa jehanamu. Mungu hutabasamu pale anapoona mwanadamu anaishi maisha ya upendo. Nafsi…
MAISHA NI MTIHANI (39)
Ukitumia dakika 60 kulalamika, umepoteza saa 1 Kulalamika ni mtihani. Unaweza kulalamika kuwa maua aina ya waridi yana miiba au kusifu kuwa miiba ina maua. Ukitumia dakika sitini ukilalamika, umepoteza saa moja. Kama una muda wa kulalamikia jambo, una muda…
Rais Magufuli aandika historia Rufiji
Rais Dk. John Magufuli amezindua rasmi ujenzi wa mradi wa umeme wa maji Mto Rufiji. Mradi huo utakapokamilika utazalisha megawatt 2,115 za umeme. Akizungumza katika uzinduzi huo uliohusisha uwekaji wa jiwe la msingi, Rais Magufuli amesema kufanikishwa kwa mradi huo…
Manabii wa viberenge vya Mlima Kilimanjaro…
Wiki kadhaa zilizopita nilikuwa miongoni mwa waalikwa kwenye mkutano wa mwaka unaoandaliwa na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na kuwakutanisha wahariri na waandishi wa habari waandamizi kutoka pande zote nchini. Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia TANAPA wameweka utaratibu…
Istilahi za kisiasa zitumike vema – (2)
Usiku na mchana, usalama na utulivu wa nchi unatoweka kwa sababu milio ya risasi na mabomu inarindima. Makazi salama yanavunjwa na miundombinu inabomolewa. Zahanati na vituo vya afya vinapokea majeruhi na wagonjwa wengi kuliko kawaida. Maiti wanazagaa barabarani na hospitalini, maji…