Author: Jamhuri
MAISHA NI MTIHANI (40)
Unapotaka kufanikiwa, uwe kama udongo mikononi mwa mfinyanzi Unyenyekevu ni mtihani. Unapojivuna kuwa umeupata unyenyekevu unapotea. Kama wewe ni mnyenyekevu usiwaambie watu kuwa wewe ni mnyenyekevu. “Kuanguka hakuumizi wale ambao wanapaa chini chini.” (Methali ya China). Ukipaa juu sana unapoanguka…
Mchawi wa ajira tunaye wenyewe
Serikali imetenga Sh bilioni 40 kwa mwaka huu wa fedha wa 2019/2020 kwa ajili ya ujenzi wa vyuo vya VETA katika wilaya 25 nchini. VETA wanasema maombi ya vijana wanaotaka kujiunga kwenye vyuo vyake yamefikia 800,000 kwa mwaka ilhali uwezo…
Nia njema tabibu, nia mbaya harabu
Nia ni kusudio, yaani dhamiri ya kutaka kukamilisha jambo au haja. Binadamu hafanyi jambo bila ya kuwa na nia katika nafsi yake. Nafsi humsukuma kutaka jambo lake lifanikiwe katika umbo la uzuri au ubaya. Nia nzuri au mbaya huonekana binadamu…
Yah: Siasa ni muhimu kwa taifa lolote
Naanza na salamu. Salamu ni uungwana wa kawaida kwa muungwana yeyote ili aweze kuwasiliana na mwenzake, maisha ya kuishi kila mtu akimuona mwenzake ni adui si maisha mazuri na kupishana kwa itikadi hakutufanyi tuwe maadui na kukubali matokeo ya walio…
Gamboshi: Mwisho wa dunia (9)
Wiki iliyopita katika sehemu ya 8 hadithi hii iliishia katika aya inayosema: “Shahidi wa pili alikuwa Bibi Judith mwenyewe. Aliieleza mahakama jinsi siku moja walivyokuja jamaa watatu. Mmoja alikuwa Mzungu, mwingine Mwarabu na wa mwisho alikuwa mtu mweusi Mwafrika. Watu…
Fid Q kusherehekea ‘birthday’ na Kitaaolojia
Msanii wa muziki wa hip-hop, Farid Kubanda, maarufu kama Fid Q, kila ifikapo Agosti 13, husherehekea siku yake ya kuzaliwa. Mashabiki wa muziki wa Fid Q wanafahamu Agosti 13 hufanya nini kwa mashabiki wake. Fid Q hutumia fursa hiyo kukonga nyoyo za…