Author: Jamhuri
Jumla ya watahiniwa 557,731 kufanya mtihani wa kidato cha nne unaoanza kesho
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam JUMLA ya watahiniwa 557,731 wamesajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne 2024 ambapo kati yao watahiniwa wa shule ni 529,321 na watahiniwa wa kujitegemea ni 28,410. Mtihani huo ambao unaanza kesho Novemba 11…
Rais Samia aipa TANROADS zaidi ya bil. 500/- ujenzi miundombinu Dar
Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan zaidi ya Shilingi Bilioni 500 zimetolewa kwa Wakala ya Barabara Tanzania-TANROADS Mkoani Dar es salaam. Licha ya kusimamia matengenezo ya…
Donald Tusk kukutana na wenzake wa Ulaya kuijadili Ukraine
Waziri Mkuu wa Poland Donald Tusk, atakutana na baadhi ya viongozi wa Ulaya kuzungumzia ushirikiano wa kimaeneo pamoja na vita vya Ukraine. Tusk, atakutana na Emmanuel Macron wa Ufaransa, Waziri Mkuu wa Uingereza Kier Starmer, Kiongozi wa Jumuiya ya kujihami…
Qatar yasitisha jukumu la kuwa mpatanishi wa Israel na Hamas
Qatar imesitisha jukumu la kuwa mpatanishi katika mazungumzo ya kusitisha mapigano na kuwaachilia mateka kati ya Israel na Hamas, maafisa wanasema. Nchi hiyo ilisema itaanza tena kazi yake wakati Hamas na Israel “zitaonesha nia ” ya kufanya mazungumzo. Haya yanajiri…
Watumishi wa ardhi Dodoma wapewa siku 30 kutatua migogoro ya ardhi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendekeo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi ametoa siku 30 kwa watumishi wa Ardhi jiji la Dodoma kutatua migogoro na changamoto za ardhi na kupata majawabu ifikapo Desemba 10 2024. Waziri Ndejembi amesema hayo Novemba 8, 2024 wakati wa kikao chake na watumishi wa Ardhi Ofisi…
Makamu wa Rais awasili Baku Azerbaijan
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utakaoshiriki Mkutano wa 29 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa…