Author: Jamhuri
Chaka Chaka Mwanamuziki shupavu
Yvonne Chaka Chaka, mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mjasiriamali, mtetezi wa haki za wanyonge na mwalimu wa wengi nchini Afrika Kusini, jina lake limeorodheshwa kwenye orodha ya wanawake 100 wenye ushawishi mkubwa Afrika. Jarida la Avance Media la Marekani ambalo hujishughulisha…
Tutatoboa tukiwathamini hawa!
AZAM, KMC, Simba na Yanga zote zimeanza safari ya ‘kuifuta machozi’ Tanzania Bara katika michuano ya klabu barani Afrika. Matokeo ya mechi zilizochezwa mwishoni mwa wiki kila mtu anajua. Lakini wakati tunataka timu hizo zipate mafanikio makubwa katika michuano ya…
Waomboleza
Familia ya Naomi Marijani (36), imefanya maombolezo kwa ibada maalumu baada ya kuthibitika kuwa binti yao ameuawa. Ingawa haijathibitika nani kamuua (kwani kesi ndiyo imeanza), pamoja na mume wake kukiri mbele ya polisi kuwa alimuua na kumchoma moto kwa kutumia…
Usalama kazini tatizo Kiwanda cha Saruji Nyati
Mfanyakazi wa Kiwanda cha Saruji cha Nyati, Charles Reuben, amekufa akiwa kazini huku chanzo cha kifo kikidaiwa ni kufunikwa na kifusi cha makaa ya mawe. Reuben amekutwa na mauti hayo usiku wa kuamkia Julai 28, 2019 baada ya kuteleza na…
Malaria tishio Ukerewe
Maambukizi ya ugonjwa wa malaria katika Mkoa wa Mwanza yanazidi kuiweka jamii ya mkoa huo hatarini. Kwa sasa Mkoa wa Mwanza una kiwango cha asilimia nane ya maambukizi ya ugonjwa huo ikiwa ni juu ya kile cha taifa ambacho ni…
Tukipeleke Kiswahili SADC
Watanzania tumejiandaa kupokea ugeni mkubwa kwa wakati mmoja, kuanzia wiki ya kwanza ya Agosti hadi ile wiki ya tatu. Macho ya dunia yatakuwa Tanzania kufuatilia Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Wakati wageni…