JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mbalamwezi alivyoagwa kupitia mitandao ya kijamii

Baada ya kifo cha aliyekuwa msanii nyota wa Bongo Fleva, maarufu kwa jina la Mbalamwezi aliyekuwa anaunda kundi la The Mafik,  mastaa mbalimbali wa muziki wa  Bongo Fleva nchini wametumia mitandao yao ya kijamii kama Instagram  kumuaga nyota mwenzao huyo…

Wanapotea kwa faida ya Simba, Yanga

Msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara umefungiliwa rasmi. Sasa, fitina, mizengwe, ujuaji, uamuzi mbovu wa waamuzi, upanguaji wa ratiba na mengi ya kero ndiyo tutakayoanza kuyashuhudia. Msimu uliopita ulimalizika huku kukiwa na malalamiko kadhaa kutoka kwa wadau mbalimbali wa soka,…

JWTZ waombwa DRC

Wananchi wa Kaskazini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wameandamana wakitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lipelekwe nchini humo liwakung’ute waasi wanaoua mamia kwa maelfu ya watu. Bado wananchi wengi wa DRC wanatambua na kuenzi kazi kubwa…

Wameitelekeza Clock Tower Dar?

Mpita Njia, maarufu kama MN, ameendelea kufurahishwa na pilikapilika za mapokezi ya wageni wa nchi mbalimbali wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC). MN ameshuhudia pilikapilika za usafi katika maeneo ya katikati ya Jiji la…

CHAKAMWATA yapigwa ‘stop’

Shughuli za Chama cha Kutetea Haki na Masilahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA) zimebatilishwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Wafanyakazi na Ajira baada ya  kubaini chama hicho kukosa bodi ya wadhamini. Ofisi ya Msajili imefikia uamuzi huo wakati chama…

Ngorongoro wapinduana

Uongozi wa Baraza la Wafugaji Ngorongoro mkoani Arusha umepinduliwa. Waliochukua hatua hiyo wanawatuhumu viongozi hao kwa ufisadi na matumizi mabaya ya fedha na rasilimali za baraza hilo. Uongozi wote wa juu umeondolewa. Walioondolewa ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafugaji, Edward…