Author: Jamhuri
‘Tumieni mapato ya ndani kutekelea miradi’
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI chini ya Mwneyekiti wake Mhe. Justin Nyamoga imeelekeza Uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke kutekeleza miradi mbalimbali kupitia mapato ya ndani kwani ni miongoni…
Pakistan: Zaidi ya watu 17 wameuawa katika mlipuko kwenye kituo cha treni
Watu zaidi ya 17 wameuawa katika mlipuko kwenye kituo cha treni katika wilaya Balochistan nchini Pakistan wakiwemo wanajeshi 14 , mamia ya wengine wakiripotiwa kujeruhiwa kwa mujibu wa taarifa ya polisi. Mamlaka imeliambia Shirika la Habari la AFP kwamba huenda…
Trump, Putin wazungumza kwenye simu kuhusu vita nchini Ukraine
Trump na Putin wazungumza kwenye simu kuhusu vita nchini UkraineRais wa Mteule wa Marekani amemtaka mwenzake wa Urusi kutoendelea kuchochea vita nchini Ukraine, kulingana na Gazeti la “Washington Post”.Donald Trump alizungumza na Rais wa Urusi Vladimir Putin siku ya Alhamisi…
DKT. Biteko aipongeza Dodoma jiji kuvuka lengo uandikishaji wapiga kura
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuandikisha idadi kubwa ya wananchi katika daftari la wapiga kura ikiwa ni maandalizi ya Uchanguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba…
Moscow yalengwa huku Ukraine na Urusi zikishambuliana kwa ndege zisizo na rubani
Huku vita vya Urusi na Ukraine vikiingia awamu mpya ya mashambulizi makubwa ya ndege zisizo na rubani, kila upande umeendesha mashambulizi makubwa zaidi tangu kuanza kwa mzozo huo. Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema ilifanikiwa kudhibiti ndege 84 za Ukraine…
Waziri Chana aongoza maadhimisho miaka 106 ya ukumbusho
Na Lookman Miraji,JamhuriMedia, Dar es Salam Siku ya Novemba 11 kila mwaka inatambulika kama siku maalumu ya kuwakumbuka mashujaa waliopoteza maisha katika vita vya kwanza vya dunia. Historia inatueleza kuwa mnamo Novemba 11 ya mwaka 1918 wakati vita vya kwanza…