Author: Jamhuri
Kashfa nzito
Serikali ya Rais John Pombe Magufuli imo hatarini kupoteza zaidi ya Sh bilioni 120 kutokana na mradi wa kukopesha matreka kwa wakulima ambao mkataba uliingiwa siku 8 kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kugeuka ‘kichomi’, uchunguzi wa JAMHURI umebaini….
Wanavyobebwa walioghushi Leseni ya Rais
Kudhani kwamba Lazaro Nyalandu hayumo ndani ya Wizara ya Maliasili na Utalii ni kujidanganya. Bado yumo. Mtandao wake upo, na unafanya kazi kweli kweli. Baadhi ya waliokuwa wasaidizi wake leo ndio wenye uamuzi wa nani anyang’anywe, au nani apewe kitalu….
Serikali kuamua mazito Lyamungo AMCOS
Serikali imesema itachukua uamuzi mgumu dhidi ya Chama cha Ushirika wa Mazao cha Lyamungo AMCOS kutokana na chama hicho kukaidi maagizo yake kuhusu kuondoa zuio mahakamani linalohusiana na shamba la kahawa la Lyamungo. Shamba hilo limekuwa kwenye mgogoro usiokwisha kwa…
Yaliyowakuta wanahabari gerezani
Hatimaye waandishi wa habari, Christopher Gamaina na wenzake wawili wa jijini Mwanza wameachiwa huru kwa dhamana ya mahakama. Wanakabiliwa na tuhuma ya unyang’anyi wa kutumia nguvu wa Sh milioni tatu, katika kesi namba 11 ya mwaka 2018. Kila mmoja amedhaminiwa…
Dhamira ya Mugabe iheshimiwe
Moja ya matukio ya kukumbukwa katika urais wa Robert Mugabe wa Zimbabwe ni lile la Julai mwaka 2017. Katika tukio hilo, Zimbabwe iliyokuwa ikiongozwa na mzee Mugabe iliuza ng’ombe wa thamani ya dola za Marekani milioni moja kwenye mnada na…
NINA NDOTO (31)
Hesabu baraka zako Ukiwa na ndoto si kila kitu unachokifanya kitaleta matokeo unayotarajia. Ni jambo jema kuwa na matarajio makubwa, lakini ni vema pia kuwa na moyo wa kustahimili. Moyo wa ustahimilivu ndiyo huwafanya wenye ndoto waendelee kubaki katika…