Author: Jamhuri
Yah: Mabango ya waganga wa kienyeji
Leo nimeamua kutotaka salamu wala kusalimia mtu, nimeamka na hili la mabango ya waganga wenye vibali vya kujitangaza kutibu magonjwa yaliyoshindikana hospitalaini na makanisani. Hata sielewi ni nani hasa ambaye anaweza akawajibika kwana kesi hii siku ya mwisho pale palapanda…
Sipendi kiki, kazi inanitambulisha Foby
Mwanamuziki anayetamba na kibao cha ‘Twende’, alichomshirikisha Barnaba Classic kinachoshika chati ya juu katika vituo mbalimbali vya redio na televisheni, Frank Ngumbuchi, maarufu Foby, amesema hana mpango wa kujiingiza kwenye ‘kiki’ zisizokuwa na maana. Akizungumza na Gazeti la JAMHURI kuhusu…
Kudumu Ligi Kuu uwe roho ngumu
Siku zote wachezaji wavivu ndio wanapenda kulalamika mno uwanjani. Kauli kama hii iliwahi kusikika: “Aaah! Ticha inatosha bwana, kwa leo inatosha.” Huyo ni mchezaji wa zamani wa Yanga akimwambia kocha wake kuwa muda wa mazoezi umekwisha, hivyo apulize filimbi ya…
Bundi atua wizarani
Baada ya gazeti hili la uchunguzi, JAMHURI, kuandika kuhusu ubovu wa matrekta wanayouziwa wakulima nchini wiki iliyopita, Bunge kupitia Kamati ya Viwanda na Biashara limeingilia kati kunusuru nchi kuingia katika madeni yasiyo na faida, hivyo kumwita Waziri wa Viwanda na…
Hii Barack Obama vipi?
Mpita Njia (MN) anawapongeza viongozi wote walioandaa Mkutano wa 39 wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Mkutano huo umeshuhudia Rais John Magufuli akikabidhiwa kijiti cha kuwa mwenyekiti wa jumuiya hiyo muhimu sana kwa nchi za kusini mwa Afrika….
Bili za miili sokomoko Muhimbili
Baadhi ya ndugu hulazimika kutelekeza miili ya wapendwa wao katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kutokana hali ngumu ya uchumi, JAMHURI limeelezwa. Ndugu hao huchukukua hatua hiyo baada ya kushindwa kulipia gharama za matibabu za mpendwa wao alipokuwa akiendelea na matibabu. Ofisa Ustawi…