JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Nini maana ya utumishi wa umma?

Tukio la hivi karibuni limenisukuma kutafakari ni nini maana nzuri ya utumishi wa umma, na ni nini unapaswa kuwa uhusiano wa mtumishi wa umma na jamii yake. Kwenye hoja yangu najumuisha watumishi wa kuchaguliwa na wa kuteuliwa kwa sababu, aghalabu,…

Kwanini Bageni anyongwe peke yake kati ya watu 13? (2)

Toleo lililopita tuliishia aya inayosema: “Kwa msingi huu, Mahakama Kuu haikumuona Bageni akifyatua risasi, kwa sababu si yeye aliyefyatua risasi, hivyo upande huo akaondolewa, lakini pia haikumuona akiamrisha risasi kufyatuliwa, kwa sababu aliyefyatua hakuwapo mahakamani kumtaja kuwa ndiye akiyemwamrisha kufyataua,…

Ukipoteza muda, muda utakupoteza zaidi (2)

Wiki iliyopita makala hii iliishia pale ambapo ilikuwa inasomeka: ‘hauwezi ukashinda kama hauchezi, mwanadamu anaishi mara moja tu hapa duniani. Tunaloweza kulifanya sasa, tulifanye kwa sababu hatuishi mara ya pili hapa duniani. Kubahatika kuishi duniani ni fursa.’ Endelea… Ni fursa ya…

MAISHA NI MTIHANI (44)

Maneno ‘asante sana’ yanaroga mtoaji atoe zaidi Shukrani ni mtihani. Kwa mtazamo wangu, shukrani ni utajiri, kutoshukuru ni umaskini. Shukrani ni furaha, kutoshukuru ni huzuni. Shukrani ni fadhila, kutoshukuru ni kilema. Shukrani ni chanya, kutoshukuru ni hasi. Shukrani ni kicheko,…

Kauli za viongozi ziwe za hadhari, zisilete mauaji

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bashiru Ally, alipowataja wakuu wa mikoa wawili kuwa wamo kwenye orodha ya viongozi vijana watakaopelekwa kupata mafunzo ya uongozi, wapo ambao hawakumwelewa. Siku mbili baadaye, hao waliokuwa hawamwelewi, walimwelewa vizuri. Kati ya wakuu…

Mwana msekwa ndo mwana

Wazaramo ni miongoni mwa makabila zaidi ya 125 yanayofahamika na kuunda taifa la Watanzania. Ni wakazi wenyeji wa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. Kiasili wana utamaduni wao na lugha mama mwanana – Kizaramo. Kihistoria na kijiografia wana ndugu zao…