Author: Jamhuri
Serikali yazinduka matrekta mabovu
Na Deodatus Balile Baada ya Gazeti la JAMHURI kuchapisha habari za ubovu wa matrekta ya URSUS yanayouzwa kwa wakulima nchini kutoka Poland, Bunge limeibana serikali, ambayo nayo imezinduka na kuchukua hatua, JAMHURI linathibitisha. Kampuni ya URSUS S. A. iliingia mkataba…
‘Trafiki’ Dar wanatosha
Wakati Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro, akifikiri kuongeza idadi ya askari wa usalama barabarani, mamlaka ndani ya Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inao askari hao wa kutosha. Akizungumza na Gazeti la JAMHURI, Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP),…
TRAWU wafukuzana Dar
Wanachama wa matawi matano wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (TRAWU) wamekutana jijini Dar es Salaam na kuunga mkono uamuzi wa Kamati Maalumu ya Dharura wa kuwasimamisha kazi viongozi wa kitaifa wa chama hicho. Hatua hii imetokana na mgogoro…
Matrekta ya URSUS yadhibitiwe
Kwa wiki tatu mfululizo tumekuwa tukiandika habari juu ya mkataba wa kununua matrekta na kujenga kiwanda cha kuunganisha matrekta cha URSUS kilichopo wilayani Kibaha. Kiwanda cha kuunganisha matrekta kwa mujibu wa mkataba ilibidi kiwe kimekamilika Juni, mwaka jana. Hadi leo…
NINA NDOTO (33)
Nitawezaje kuamka mapema? “Ni jambo la aibu, ndege wa angani waamke kabla yako,” alisema Abu Bakr, rafiki wa karibu sana wa Mtume Muhammad. Siku moja wakati natazama video katika mtandao wa Youtube nilikuta video iliyokuwa ikimuonyesha bondia maarufu…
Wapandishwa kizimbani kwa kuiba bil. 1.4/-
Watu wawili wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka matatu ya kula njama na kuvamia, kuvunja makazi na kuiba fedha na vitu vyenye thamani ya Sh bilioni 1.4. John Masatu…