JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

TAKUKURU Mtwara waokoa mil 31/- za viuatilifu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Mtwara imefanikiwa kuokoa zaidi ya Sh milioni 31 fedha za viuatilifu katika msimu wa kilimo mwaka 2024/2025. Akizungumza jana mkoani Mtwara, Naibu Mkuu wa Takukuru Mkoa…

Rwanda yapeleka msaada wa kibinadamu Gaza

Serikali ya Rwanda imepeleka shehena ya misaada ya kibinadamu zaidi ya tani 19 za chakula,vyakula vya watoto, dawa na vifaa vya matibabu kusaidia wananchi wa Gaza. “Rwanda itaunga mkono  jitihada za kimataifa katika kutoa misaada ya kibinadamu kwa wananchi wa…

UN yaanza kuchunguza uhalifu wa kivita Darfur

Jopo la wataalamu lililoundwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limewasili nchini Sudan kuchunguza madai ya uhalifu wa kivita uliofanywa na Jeshi la wanamgambo wa (RSF) katika eneo la magharibi la Darfur. Timu hiyo iliwasili katika mji wa…

Naibu Waziri Londo azinadi fursa za kiuchumi nchini Urusi

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Dennis Londo amezinadi fursa za mbalimbali za kiuchumi ikiwemo uwekezaji, biashara na utalii nchini Urusi wakati alipokutana kwa mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo…

‘Kukamilika mradi wa umeme Rusumo kunazidi kuimarisha gridi ya Taifa’

*Ni mradi wa megawati 80 unaotekelezwa na Tanzania, Burundi, Rwanda *Kila nchi yafaidika na megawati 26.6  *Kamati yasema mradi utazidi kuimarisha uhusiano mzuri wa Tanzania, Burundi, Rwanda Imeelezwa kuwa, mradi wa kufua umeme unaotokana na maji wa Rusumo, umeanza kuzalisha…