Author: Jamhuri
Mafanikio katika akili yangu
Hiki ni kitabu ambacho kimesheheni matumaini, motisha pamoja na hamasa kwa vijana ambao waliona uthubutu katika maisha yao. Mwandishi ameamua kufikisha ujumbe kwa vijana ili kuwapa moyo na faraja, pia kitabu hiki kimezungumzia maisha halisi ya mwandishi wa kitabu hiki….
Bado machozi ya wanyonge ni mengi
Wiki kadhaa zilizopita Rais John Magufuli alitoa kauli nzuri yenye kuleta matumaini kwa waliopoteza au walioelekea kupoteza matumaini. Julai 18, mwaka huu, akiwa Kongwa mkoani Dodoma, alitamka maneno haya: “Mlinichagua kwa ajili ya watu wote, hasa wanyonge wanaopata shida. Siwezi nikatawala…
Mwana wa Afrika ametutoka
Kwa mara nyingine Bara la Afrika limeondokewa na mwanamapinduzi jasiri, mpiganaji na mtetezi wa haki na mali za Waafrika. Kiongozi shupavu na mkweli, aliyebeba uzalendo na mwenye msimamo katika hoja na maono yake. Ni kiboko cha mabeberu wa nchi za…
Yah: Historia hujirudia ni laana
Nianze na salamu za pole kwa wenzetu wote, hasa Waafrika ambao wako Kusini mwa bara hili, ambao wamekumbwa na mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama vile wanaowaua wanatoka nje ya Afrika na hawana undugu nao, yaani leo wamesahau waliishije enzi…
BURIANI MZALENDO PAUL NDOBHO
Mbunge aliyemshinda Mwalimu Nyerere Paul James Casmir Ndobho alifariki dunia Jumapili, Septemba 8, 2019, saa mbili usiku katika Hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza alikokuwa akitibiwa. Kwa bahati mbaya sana, kifo chake hakikutangazwa na kupewa uzito unaostahili ambao ungeakisi mchango…
Msondo Ngoma ilikotoka (2)
Wiki iliyopita makala hii iliishia pale ambapo Gurumo alipofika katika bendi hiyo akawa kiongozi wa bendi sambamba na kuasisi mtindo wa ‘Sikinde Ngoma ya Ukae’. Mtindo huo ni wa asili ya ngoma za Kizaramo. Muda mfupi, Hassan Bichuka, naye aliondoka katika bendi…